Tena anakusanya kwenye account yake ya biashara.wizi mtupu
 
Hiyo pesa wala isingefika kwa wahanga ingeishiaa makalio mwake tu na wenzake
Nchi hii imejaa watu tktk tu na wanapewa airtime na wanafuatiliwa na wpmbv

Ova
Wamenunua visoda na vimaji + juice kama za laki kazaa ili kudanganya umma.....iliyobaki walikuwa waweke ta.koni niffa jambazi la kike shenzi kabisa
 

Ha ha Haa
Aanze na waliopata sauti mtandaoni kisa kawazidi akili. Hao hata Ulmaziwa ya Unga wanauza nilisikia watu wakisema.
 
Hv una akili mimi naona kama huna vile!!??
 
Dalili zipo yeye badala ya kuwasilisha sehemu husika alianza kuzitumia kwa kununua vijuice na soda na maji ya kudanganyia umma
 
Wanakamatwa ili wasifiche ushahidi usiwe mjinga sana
 
Hebu nisaidie,hivi Resty kale kaduna kake ka vipodozi ndio kanampaga maisha yotee au ana uwekezaji mwingine ukiachana na ule wa samaki Thomas uliokufa?

Ha ha haaaa nilisikia ni
Maziwa ya watoto ya unga..

Hafatwi tena ndio maana visirani anafikiri Niffer kawa kama yeye kupewa short cuts.

Naye inabidi revenue watembee nae tu
 
Mbona zilizochangwa Arusha na Mridho Gambo alituahidi atajenga hospitali mpaka leo hatujaiona wala haupo mradi huo!!
 
Na huyo injinia Ayubu hakudai hata sh.100 kwa kusulubiwa bila hatia!? Mjomba Ayubu ana roho nzuri kweli!🤣
 
Hata hivyo hatua zimechelewa kuchukuliwa. Sijui jeshi letu ni wazee sana wamejazana huko hadi wanashindwa ku ‘catch up’ na mambo ya kwenye mitandao upesi?
Askari wenyewe wana vitambi yaani ni mabonge nyanya watspata wapi akili ya kukimbizana na matapeli?

Siwalaumu hao manjagu vibonge ila namlaumu aliyewapa kazi ya uaskari vibonge 😂😂
 
Samahan dada kwani ni nifer wewe au yule mwingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…