Jeshi la Polisi tayari limempata Niffer kwa kuchangisha michango ya wahanga wa Kariakoo
Matatizo yanayotukabili wabongo ni matatu TU.
1. Chama cha kijani
2. Muungano
3. Katiba mbovu
Tukiyafuta haya matatu, nchi itafanana na Norway
 
Taifa tumefika hapa kweli! Tunawafundisha nini watoto wetu kwakweli?

Nifah ni nani kwenye taifa hili, amefanya nini ambacho kinatutambulisha kama taifa kiasi cha kawafanya vijana watamani kufika alipofika huyo mtu, kaandika kitabu gani ambacho vizazi vijavyo vitajifunza kupitia nacho!

CCM laana hii mtaibeba nyie na vizazi vyenu! Nilikuwa sijuhi kwanini kuanzia huku ngazi za chini Hadi taifa watu wenye weredi, wabunifu, wenye maono huwa hawapewi nafasi na huwa hawapedwi!
Sasa ndo uanze kuelewa kwanini watu waliotoboa maisha wanasemwa kuwa wana roho mbaya ndo vitu kama hivi usababisha yeye kafanya fund raising , sasa ili wasionekane wamepoteza mvuto kwa jamii wanaenda kumpiga pini ishu wangemuacha hadi mwisho waone hiyo fedha iliyochangishwa itatolewa au itakuwaje then waanzie hapo.
Hii ni sawa na mchungaji awaombe waumini watoe walichonacho kisha akiwasilisha kwa waanga .Narudia tena tz unatakiwa uwe na roho ya kukunja tu ata kama umetoboa maisha
 
Wizi umeona kaiba!?

Ila tukubaliane ana nyota yake wengi hawana has hao wa wivu like...... Tuanze kwako pia 😂😂😂😂
Sina wivu
Uzuri hela za biashara wataangalia na efd yake inasemaje.mbona atafurahi
Ushamba unamsumbua
 
Serikali ilishaweka muongozo. Huyu akaingia katikati. Halafu hili suala la utakatishaji fedha waliangalie vizuri. Zaidi ya hii michango ya maafa kuna kila dalili kuwa huyu binti anatumika na watu fulani kufanya hiyo kazi ya kutakatisha hela. Watumie hii chance kumbana. Huyu kuna zaidi ya hizo biashara..
Sikujua kama kuna sheria hiyo.. Nimepata kitu.
 
Naona alivyo changisha tuu Resty kainuka juu vibaya mno..... sijui wana ttzo gani

Hapo mwanzo mbona Kuna siku Niffer alikuwa balozi wa la vista organic za huyo Resty ......
Wana vita imepitiliza ile msemo wa your competitor in business is your enemies ila kwa hawa imepitiliza inaonekana shangazi res anaona dogo ameandilia sana yaani kila level amempita ndo maana anamsagia kunguni kila kona ila dogo anapeta tu .
 
Ila jamani dada ana kiherehere yule 🙌🏾🙌🏾 Yeye kutwa anatakaga tu kuprove kuwa yeye ndio anajua sana biashara, amebarikiwa sana, ana wateja na wafuasi sana yani tafrani tupu. Hadi faida anazotengeneza anakuja kuweka mtandaoni 🙄 Kama ni kuwin, awin in silence ila masifa ndio yanayomcost. Kuna kuinspire watu ila huku kwake ni kimbelefront aisee 😏
 
mil1-tzmsaadatouturuki.jpg
to jamii forums.jpg
 
Ila jamani dada ana kiherehere yule 🙌🏾🙌🏾 Yeye kutwa anatakaga tu kuprove kuwa yeye ndio anajua sana biashara, amebarikiwa sana, ana wateja na wafuasi sana yani tafrani tupu. Hadi faida anazotengeneza anakuja kuweka mtandaoni 🙄 Kama ni kuwin, awin in silence ila masifa ndio yanayomcost. Kuna kuinspire watu ila huku kwake ni kimbelefront aisee 😏
Yaani ameingia cha kike.maana hela zote atakazodai ni za kwake inatakiwa efd ioneshe
Kama hatoi risiti ni msala mwingine
 
Kama wana umoja wao hao wafanyabiashara wa kkoo wasijichangishe?

Kwani serikali si kila bajeti huwa wanatenga fungu kwa ajili ya mfuko wa maafa sasa wanachangisha nini tena hela zilizotengwa ziko wapi mpk waanze kuwaonea wivu wengine wanaochangisha?

Mambo mengine ni aibu sana hasa yanapotendwa na kiongozi mkubwa hivyo
Kwenye maafa kama haya siyo busara watu wachangishe bila kibali maalum. Huyu kwanza anaonyesha ni mjanja janja na anaweza kupiga hiyo michango.
 
Nchi Iko Autopilot hii.... Yaani inajiendea TU. Kwanza inatakiwa kuwe na taratibu za kisheria mtu afate ndio apewe kibali Cha kuchangisha watanzania.
Hawa watoto wanatumika kusafisha fedha Chafu za mafisadi papa na wezi hiyo inajulikana...
Mtu anatangaza TU watu wamchangie mara milioni 5, 15, 30,50M chap chap. Huoni hapo wanataka kupitisha mahela yao machafu na hivi serikali imetangaza kubadilisha noti. Watu wanataka hela walizofukia ziingize kwenye mfumo. Ndio maana na huyo mtoto anafungua mall huko Dom. Ni money laundering.....
Na watanzania msipende kuibiwa. Vitu kama hivi jitahidini kuwatafuta wahusika wa ajali wenyewe watumieni hela au washikeni mkono. Sio mnaambiwa mnatuma TU kama mazuzu....
Punguza wivu mbona ombaomba wanawachangisha kila siku mjini na mmechomekea midomo
 
Back
Top Bottom