Typical Tanzanian.... Yaani hapo huelewi huambiwi na husikilizi.
Wivu wa Nini???? Iko timamu kweli????
Unajua Sheria inayohusiana na maafa na inavyosema???? Au unakutupuka..........
Waziri mkuu umemsikiliza????Umemuelewa???? Hili ni janga la Taifa sio la ukoo wenu. Likitokea huko kwenye ukoo wenu Tumieni Sheria za ukoo ila kwa hili hapana....
Kamati ya maafa ipo na idara zake na mfuko wake. Kuchanga Tena kwanini. .
Sampuli yenu ndio akija Mr vanilla ambaye ndiye manguruwe mpo, Mr kuku mpo, forex mpo,... Yaani mnapigwa kila upande.
Sasa Mimi nimuonee wivu mtu anayetumia utupu wake kunyanyuka??????
Na pia sio lazima wote tuwaze kitu kimoja... Mimi ninakataa we kubali kisha pita hivi....