PreGE2025 Jeshi la Polisi: Tuliimarisha na kuweka ulinzi mkali Kisutu kutokana na matishio ya kiusalama na vitendo vya uhalifu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
40,476
Reaction score
26,173
Kuhusu suala la usalama Mahakama ya Kisutu kwa ujumla usalama uliimarishwa kwa kiwango cha juu kufuatia taarifa mbalimbali za matishio zilizokuwa zikipatikana kuhusiana na suala la kesi inayomkabili Tundu Lissu tarehe 24/04/2025. Kazi ya kuzuia vitendo vya kihalifu inaendelea kwani hilo ndio jukumu kubwa la msingi la Jeshi la Polisi.

Soma Pia: LIVE - Kisutu: Kesi ya Tundu Lissu leo itaendeshwa kwa njia ya Mtandao. Kila Mtu huru kusikiliza

Watu watano walikamatwa ambao ni:
  1. John Heche
  2. John Mnyika
  3. Chacha Heche Seguta
  4. Swezi Dani Naradufu
  5. James Mseti
Baada ya mahojiano dhamana zao ziko wazi. Jeshi linatoa wito kwa wananchi wote kutojihusisha na vitendo vya kihalifu kwani halitakuwa na huruma katika litamshughulikia kwa kufuata misingi ya kisheria.
Your browser is not able to display this video.



​
 
Ndugu zangu Watanzania,

Hii hapa ndio taarifa ya jeshi la polisi Nchini

Soma hapo chini kama ilivyo👎View attachment 3314539View attachment 3314540

Biblia Takatifu,
Kutoka 21 : 14, 23 - 25.
"Lakini mtu akimshambulia mwenzake makusudi na kumuua kwa jeuri, hata Kama atakimbilia kwenye madhabahu, mtamtoa huko madhabahuni pangu na KUMUUA.
Lakini Kama yatakuwepo madhara mengine, basi lazima amlipe uhai kwa uhai, jino kwa jino, jicho kwa jicho, mkono kwa mkono, mguu kwa mguu, kuchomwa moto kwa kuchomwa moto, jeraha kwa jeraha, na pigo kwa pigo
 
Kuiba kura pia ni kulinda usalama au mnalinda usalama wa CCM madarakani?
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
I wanba talk to the mayor to the govonor to fuckk the police
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…