Watu wengi Wana shida ya afya ya akili,majority they know nothing at allIngekuwa watanzania wana elimu ya kujitambua,Kipindi hiki tungefanya mapinduzi ya kiuongozi ili huu uongozi wa kijambazi na haramu unaokandamiza haki za watanzania ukafutwa kabisa Kwa nguvu ya umma.no reform nor election
Polisi hawana akili wanapiga watu bure ? Mbona siwaoni wakipiga watu huku mitaani ..Unaleta conscious nyuma ya keyboard ! Msitafute sababu za kuwaingia watu kwenye matatizo kwa mlengo wenu wa kisiasa ..Ingekuwa watanzania wana elimu ya kujitambua,Kipindi hiki tungefanya mapinduzi ya kiuongozi ili huu uongozi wa kijambazi na haramu unaokandamiza haki za watanzania ukafutwa kabisa Kwa nguvu ya umma.no reform nor election
Kumbuka hivi majuzi tu ...chadema ilikuwa inawatukana na kuwakashifu wazalendo wote tanzania na kuwaita wapumbavu sukuma gang huku wakimsifu samia na msoga kwa kifo cha jpm na kuwa tukana walio fanya jitihada za kumzuia mzanzibar kuwa rais wa bara ....kumbukeni ni hao hao chadema msisahau .....haya yanayo tokea sisi wazalendo tuwe wa mwisho kuingilia wakati wapumbavu wamesha jifunza ....Ingekuwa watanzania wana elimu ya kujitambua,Kipindi hiki tungefanya mapinduzi ya kiuongozi ili huu uongozi wa kijambazi na haramu unaokandamiza haki za watanzania ukafutwa kabisa Kwa nguvu ya umma.no reform nor election
acha upotoshaji gentleman,Jeshi La Polisi Limetoa Taarifa Kuhusu Msiba Wa Mwanachama Wa CHADEMA
View attachment 3314810
View attachment 3314811
mtoa hoja ni mropokaji mpotoshajiBro taarifa yako haijakamilika
Huyo mwanachama wa CDM anaitwa nani?
Anaishi wapi?
Ilikuwaje mpaka akafariki?
Gentleman,Hii nchi tukubali hatuna jeshi la polisi la kuwalinda raia na mali zao. Na badala yake tuna kikumdi cha watu kilicho ajiriwa kwa kodi zetu kulinda maslahi ya chama tawala na watu wake.
Binafsi hii ya polisi kuuwa wananchi hainitishi kabisa.Gentleman,
bandits, vibaka wa kisiasa na malofa kadhaa watakaobebwa ufala kifikra na matapeli wa kisiasa na kuchochewa kufanya mambo haramu na kinyume cha sheria na hatimae kuumizwa au kupoteza maisha, yafaa wajilaumu wao wenyewe kwa kufanywa mazoba wa kisiasa na wenzao wajanja.
Polisi Tanazania hawawezi kuvumilia hata sekunde moja vurugu, fujo wala uharibifu wala usumbufu kwa watu wanaendelea na shughuli zao kwa amani kutoka kwa waropokaji.
Asie skia la mkuu asilalamike kuvunjika guu 🐒
Naona huyu mulliro apelekwe mahakama ya kimataifa kwa kutumia cheo chake vibaya kwa raia na kuingilia mhimili mwingine.Ingekuwa watanzania wana elimu ya kujitambua,Kipindi hiki tungefanya mapinduzi ya kiuongozi ili huu uongozi wa kijambazi na haramu unaokandamiza haki za watanzania ukafutwa kabisa Kwa nguvu ya umma.no reform nor election
Kinachokufanya uandike uharo huu ni ujinga wa kudhani uko salama sana kumbe unatumika! Ipo siku isiyo na jina utalia na kusaga moyo!Gentleman,
bandits, vibaka wa kisiasa na malofa kadhaa watakaobebwa ufala kifikra na matapeli wa kisiasa na kuchochewa kufanya mambo haramu na kinyume cha sheria na hatimae kuumizwa au kupoteza maisha, yafaa wajilaumu wao wenyewe kwa kufanywa mazoba wa kisiasa na wenzao wajanja.
Polisi Tanazania hawawezi kuvumilia hata sekunde moja vurugu, fujo wala uharibifu wala usumbufu kwa watu wanaendelea na shughuli zao kwa amani kutoka kwa waropokaji.
Asie skia la mkuu asilalamike kuvunjika guu 🐒
punguza makasiriko, mihemko na uropokaji gentleman, jikite kwenye hoja mahususi ya mezani bila chuki binafsi na itapendeza zaidi ndugu mdau 🐒Kinachokufanya uandike uharo huu ni ujinga wa kudhani uko salama sana kumbe unatumika! Ipo siku isiyo na jina utalia na kusaga moyo!
Kilaza wa Samia!
Kwa akili ya kawaida,unaona watu walienda mahakamani kuleta vurugu ili?Polisi hawana akili wanapiga watu bure ? Mbona siwaoni wakipiga watu huku mitaani ..Unaleta conscious nyuma ya keyboard ! Msitafute sababu za kuwaingia watu kwenye matatizo kwa mlengo wenu wa kisiasa ..