PreGE2025 Jeshi la Polisi: Tuliimarisha na kuweka ulinzi mkali Kisutu kutokana na matishio ya kiusalama na vitendo vya uhalifu

PreGE2025 Jeshi la Polisi: Tuliimarisha na kuweka ulinzi mkali Kisutu kutokana na matishio ya kiusalama na vitendo vya uhalifu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Tuna polisi ya kishetani sn, huyu Muliro alaaniwe yeye na uzao wake wote, kwa unyama niliouona jana kwa macho yangu pale Kisutu, bora ukutane na jambazi ana huruma na siyo hawa polisi asee.
 
Hii nchi tukubali hatuna jeshi la polisi la kuwalinda raia na mali zao. Na badala yake tuna kikumdi cha watu kilicho ajiriwa kwa kodi zetu kulinda maslahi ya chama tawala na watu wake.
Tuna majambazi yanayovaa uniform, kazi yao ni kuisaidia ccm kuiba kura nyakati za chaguzi mbali mbali
 
Jeshi La Polisi Limetoa Taarifa Kuhusu Msiba Wa Mwanachama Wa CHADEMA

View attachment 3314810


View attachment 3314811
Imethibitika bila chenga wasiojulikana wote ni polisi! Na kwa Dar Jumanne Murilo ndiye kiongozi wao!
Binafsi hii ya polisi kuuwa wananchi hainitishi kabisa.
...hofu yangu ni pale wananchi nao watakapochoka na kuamua liwalo na liwe. Sidhani kama polisi watatosha. Kuna umuhimu kumuomba mama aongeze ajira za polisi mapema. Mimi nina hofu sana!
Gentleman,
bandits, vibaka wa kisiasa na malofa kadhaa watakaobebwa ufala kifikra na matapeli wa kisiasa na kuchochewa kufanya mambo haramu na kinyume cha sheria na hatimae kuumizwa au kupoteza maisha, yafaa wajilaumu wao wenyewe kwa kufanywa mazoba wa kisiasa na wenzao wajanja.

Polisi Tanazania hawawezi kuvumilia hata sekunde moja vurugu, fujo wala uharibifu wala usumbufu kwa watu wanaendelea na shughuli zao kwa amani kutoka kwa waropokaji.

Asie skia la mkuu asilalamike kuvunjika guu 🐒

Biblia Takatifu,

Kutoka 21 : 14, 23 - 25.
"Lakini mtu akimshambulia mwenzake makusudi na kumuua kwa jeuri, hata Kama atakimbilia kwenye madhabahu, mtamtoa huko madhabahuni pangu na KUMUUA.
Lakini Kama yatakuwepo madhara mengine, basi lazima amlipe uhai kwa uhai, jino kwa jino, jicho kwa jicho, mkono kwa mkono, mguu kwa mguu, kuchomwa moto kwa kuchomwa moto, jeraha kwa jeraha, na pigo kwa pigo."
 
Ingekuwa watanzania wana elimu ya kujitambua,Kipindi hiki tungefanya mapinduzi ya kiuongozi ili huu uongozi wa kijambazi na haramu unaokandamiza haki za watanzania ukafutwa kabisa Kwa nguvu ya umma.no reform nor election
Kabisa Mkuu wangekuwq muda huu wqnaozea jela hawa Wanyamashetani
 
Tuna polisi ya kishetani sn, huyu Muliro alaaniwe yeye na uzao wake wote, kwa unyama niliouona jana kwa macho yangu pale Kisutu, bora ukutane na jambazi ana huruma na siyo hawa polisi asee.
Tena wewe nilitaka uende ili wakuvunje miguu yako na kukutegua kiuno hicho ili uache kutembea umbali mrefu na Makopo yako
.
 
Yupo wapi Hilda Newton aliyechukuliwa na waovu ndani ya mahakama ya kusutu
 
Hawa polisi tuanze kumalizana nao mitaani maana tunakaa nao sio kwamba wanaishi mbinguni, watoto wao na ndugu zao nao wajumuishwe.
 
Back
Top Bottom