PreGE2025 Jeshi la Polisi: Tuliimarisha na kuweka ulinzi mkali Kisutu kutokana na matishio ya kiusalama na vitendo vya uhalifu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hongera sana.... Ila safari inayokuja wakamatiwe majumbani kwao huko huko hawa nyumbu
Usifuarahie hayo kwa wenzako. Watu wameemda kutakakusikiliza kesi nyinyi mnawakamata na kuwapiga na kuwaumiza na kuua wengine. Mungu atayalipa na huyu Samia atapata ajali mbaya sana anafanya matibabu na hatafannikiwa kupona.
 
Lucas ikitkea la kutokea you wi be hanged! Unaongoza mauaji ya wanachadema. Likitoke la kutokea hutasalimka. achana na kushabikia mauaji yasiyo na hatia. Take care1
 
So pathetic! Wenzenu Kenya, wapo Haiti wanapambana na makundi yenye siraha Kali za, kivita, kama M16, nk, nyie mpo kiandika makara ndeeefu ya kipuuzi mnakamata mnapiga watu wasio hata na njiti za kuchokonolea meno! Kama siraha!
Nyie ni wajinga Sana,
 
Mbona waliokamatwa wote wakurya? Ule upumbavu wa kule kwao wameuhamishia Dsm? Hayo majinga huwa mabishi, ujuaje wa kipuuzi. Watastaarabika kwa lazima
 
Hivi Jeshi la Polisi bado linafikiri kwamba hawa waTanzania wa Sasa bado ni Wajinga Kama wale wa enzi zile za Zidumu Fikra za Mwenyekiti??
Hao siyo wajinga tu wana udumavu wa akili, niambie ni nini cha maana wameweza kufanya. Wangekuwa na akili wangejua kuiheshimu mamlaka, wakati wa kazi wanazurura kutafuta namna ya kujifunja na kuiba badala ya kufanya kazi bado useme wana akili? You must be crazy.
 
Jeshi la polisi limetoa taarifa kwa Umma kuhusu mtu mmoja aliyeokotwa katika ufukwe wa Coco na badaye kubainika kuwa amefariki. Aidha Taarifa hiyo imeeleza pia kuhusu muendelezo wa tukio lililotokea la mabinti wawili walikwa wakipigana huku wakionekana kugombea mpenzi waliyekuwa wakimtaja kwa Jina la Mwijaku.






 
Ingekuwa watanzania wana elimu ya kujitambua,Kipindi hiki tungefanya mapinduzi ya kiuongozi ili huu uongozi wa kijambazi na haramu unaokandamiza haki za watanzania ukafutwa kabisa Kwa nguvu ya umma.no reform nor election
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…