Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
- Thread starter
-
- #81
Jaribu uone namna utakavyo vunjwa miguuHawa polisi tuanze kumalizana nao mitaani maana tunakaa nao sio kwamba wanaishi mbinguni, watoto wao na ndugu zao nao wajumuishwe.
UWT nyie ni makatili haswaBora wangekuuwa tu maana huna faida yoyote ile hapa Duniani
Kafa mtu,wengine wameumizwa na kutupwa mabwe pande!well done Polisi Tanzania.
All Tz citizens are proud over your esteemed operations 🐒
Where the *** are we?well done Polisi Tanzania.
All Tz citizens are proud over your esteemed operations 🐒
check them and read careful and be guided with them arcondingly in discussions and conversations, right ?🐒
Wewe si washa kuvunja mku****Ukileta ubishi wako na vurugu ni lazima uvunjwe tu miguu
Njoo kesho kwenye Fight ya Mama ...Uone viumbe nnao shinda nao kama watu wa mchezo.Acha mbwembwe wewe😀😀😀. Umejikunyata huku halafu unasema husogeleki?
Natamani sana uvunjwe huto tumiguu.UWT nyie ni makatili haswa
Usilete mahasira huku. Tena wewe ukija kuleta pua yako itabidi uvunjwe miguu yote miwili na kukutegua kiuno.Wewe si washa kuvunja mku****
Unanichukia sn sijui kwanini?Natamani sana uvunjwe huto tumiguu.
Nimecheka mpaka tumbo linauma 🤣🤣🤣🤣Kuhusu suala la usalama Mahakama ya Kisutu kwa ujumla usalama uliimarishwa kwa kiwango cha juu kufuatia taarifa mbalimbali za matishio zilizokuwa zikipatikana kuhusiana na suala la kesi inayomkabili Tundu Lissu tarehe 24/04/2025. Kazi ya kuzuia vitendo vya kihalifu inaendelea kwani hilo ndio jukumu kubwa la msingi la Jeshi la Polisi.
Soma Pia: LIVE - Kisutu: Kesi ya Tundu Lissu leo itaendeshwa kwa njia ya Mtandao. Kila Mtu huru kusikiliza
Watu watano walikamatwa ambao ni:
Baada ya mahojiano dhamana zao ziko wazi. Jeshi linatoa wito kwa wananchi wote kutojihusisha na vitendo vya kihalifu kwani halitakuwa na huruma katika litamshughulikia kwa kufuata misingi ya kisheria.
- John Heche
- John Mnyika
- Chacha Heche Seguta
- Swezi Dani Naradufu
- James Mseti
Huna huo uwezo kima wewe tuta kufirigitiUsilete mahasira huku. Tena wewe ukija kuleta pua yako itabidi uvunjwe miguu yote miwili na kukutegua kiuno.