Jeshi la Polisi: Tumemkamata Boniface Jacob kwa makosa ya Jinai anayotuhumiwa nayo

Huyu na mnyika walitakiwa kukamatwa kitambo sana hawa ndio walipanga mauaji na kuwahi mitandaoni

USSR
Hivi binaadam unapokuwa na hali ya namna hii, nawe bado unajiona ni mtu mwenye akili timamu? Hii inakusaidia kitu gani, wewe kama wewe!

Taarifa kama hii inakufanya ujisikie vizuri, na kujivunia mchango ulio kifanyia chama chako na viongozi wako?
 
Siitaki sana niseme kitu hapaa ,lkn angetuambia anatuhumiwa kwa makosa gani ya Jinai ,ili tujue ,pili watanzania tusiwe na chuki zidi ya watu

mimi nimefikiria uchaguzi wa kanda ya pwani unatarajiwa kufanyika ivi karibuni na usahili unaendelea hivyo ni mbinu za kumfanya asihudhurie uchaguzi maana nasikia ni mgombea
 
Basi figisu hizo watakuwa wenyewe chadema,uchaguzi wa ndani wa chadema CCM unawahusu vipi we bavicha.
 
Next
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…