Jeshi la Polisi: Tumemkamata Boniface Jacob kwa makosa ya Jinai anayotuhumiwa nayo

Kaka utajiri
Atoe ushirikiano jeshi la polisi ni sehemu salama tu!
Kabisa na hakiwa mbishi wataminya kende
 
Bado na wengine!
 
Boniface aachiwe mara moja, watu tumechoka na unyanyasaji kwa wanasiasa hapa Tanzania.
 
Big kashindwa kuwapunch police na mwili woote ule?

Sasa anafuga mwili Mkubwa kama nguruwe kama ule wa kazi Gani.?
Urushe ngumi si ndo unawapa sababu ya kukuchakaza kwamba unemshambulia afisa wa usalama....kuna maisha ukishayachagua basi kubali na consequences zake pia....Big ni mmoja wa watu waliokuwa na kauli ngumu sana....wacha tuone makosa anayotuhumiwa nayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…