Jeshi la Polisi: Tumemkamata Boniface Jacob kwa makosa ya Jinai anayotuhumiwa nayo

Uko sahihi,

LAKINI wewe si umemskia Wilbroad Slaa aliposema kuwa sometimes walikuwa wanajiteka wenyewe?

Hakuna anaefurahia watu kutekwa au kumwagwa damu.
 
Nashilingi ndo inazidi KUPOROMOKA....yajayo Yanafurahisha na kuhuzunisha.....hii inaitwa Kingi asubuhi
 
Huyo atanyea debe mpaka 2026 mwez 2
 
Utashangaa baada ya tarehe taja ya maandamano ndio wanafikishwa mahakamani.

Baada ya speech ya jana nilitegemea haya kuwepo.
 
Uko sahihi,

LAKINI wewe si umemskia Wilbroad Slaa aliposema kuwa sometimes walikuwa wanajiteka wenyewe?

Hakuna anaefurahia watu kutekwa au kumwagwa damu.
Inaeezekana wakajtrka ndyo lkn unadhan wanapojteka wanadhamira ipi!?je ndo polis wacheze ngoma yao?iktakiw polis wayaeleze kwa wananchi kwa uthibitsho usio na shaka na ili wao wajtenge na hizo skendo.
 
Hata mnyika hakusema jeshi wewe jeshi umelitoa wapi , subiri akitoka atakuja kusema amekamatiwa nini

USSR
Myika na bony wanawatuma vijana wablock gari then wanamtia pingu na kutokomea naye

Myika na bony wanamiliki jeshi

Maccm bana akili zenu mnaziavhaha wapi?
jeshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…