Jeshi la Polisi: Tumemkamata Boniface Jacob kwa makosa ya Jinai anayotuhumiwa nayo

Jeshi la Polisi: Tumemkamata Boniface Jacob kwa makosa ya Jinai anayotuhumiwa nayo

Ndugu inaonekana kwako suala usalama nchi yako unaliona mikononi mwa polisi tuu.Hiv hujiulz hiyo kamata kamata,teka teka na potea potea ya watu inaacha makovu kias gan kwa raia!??.Unajua kwamb taifa lina watu wangap waliokata tamaa!?,majobless!?walio umizwa na dola!?...kikubwa nkwamba tuombe saana Jeshi la polisi liendelee kuaminika na watz kama ilvyo JWTZ.Kamata kamata inaleta uoga na sio kuaminika sas hilo linatengeneza chuki na dharau kwa jeshi huska.
Matumiz ya nguvu yawe lazma pale inapobid yasiwe fashion bnadam sio ng'ombe akitokwa na ubindam wake kinakuwa kiumbe kingne.

WANANCHI WOTE+WANASAIASA+JESHI LA POLISI TUNALUGHA MOJA NA SIS SIO MAADUI HATA KIDOGO. Viva UMOJA TZ ya JANA,LEO NA KESHO.
Uko sahihi,

LAKINI wewe si umemskia Wilbroad Slaa aliposema kuwa sometimes walikuwa wanajiteka wenyewe?

Hakuna anaefurahia watu kutekwa au kumwagwa damu.
 
Nashilingi ndo inazidi KUPOROMOKA....yajayo Yanafurahisha na kuhuzunisha.....hii inaitwa Kingi asubuhi
 
Anywei hatuwez mtete huyo bwana Bony maana polisi ndo wenye dhamana na mambo kama hayo.Lkn naona wananch kuwaelewa jesh la polis ktk hili inahtaj utulvu mkubwa maana mambo yamekuw meng.Ni vema Polis wajihadhar dhidi uhai wake wasije tia doa sura yao kama chombo cha usalama kwa wananchi.Ukzngatia matukio kadhaa ambayo yametokea hiv karbuni.
Huyo atanyea debe mpaka 2026 mwez 2
 
Utashangaa baada ya tarehe taja ya maandamano ndio wanafikishwa mahakamani.

Baada ya speech ya jana nilitegemea haya kuwepo.
 
Uko sahihi,

LAKINI wewe si umemskia Wilbroad Slaa aliposema kuwa sometimes walikuwa wanajiteka wenyewe?

Hakuna anaefurahia watu kutekwa au kumwagwa damu.
Inaeezekana wakajtrka ndyo lkn unadhan wanapojteka wanadhamira ipi!?je ndo polis wacheze ngoma yao?iktakiw polis wayaeleze kwa wananchi kwa uthibitsho usio na shaka na ili wao wajtenge na hizo skendo.
 
Hata mnyika hakusema jeshi wewe jeshi umelitoa wapi , subiri akitoka atakuja kusema amekamatiwa nini

USSR
Myika na bony wanawatuma vijana wablock gari then wanamtia pingu na kutokomea naye

Myika na bony wanamiliki jeshi

Maccm bana akili zenu mnaziavhaha wapi?
jeshi
 
Back
Top Bottom