Jeshi la Polisi: Tumemkamata Boniface Jacob kwa makosa ya Jinai anayotuhumiwa nayo

Jeshi la Polisi: Tumemkamata Boniface Jacob kwa makosa ya Jinai anayotuhumiwa nayo

Kelele zimesaidia kimtoa kima kichakani, tofauti na hapo, ingekuwa nitolee.
 
Mimi nimebeba Nyundo ya EU usilie baadaee
Huna lolote kamuulize Bon Yai walivyombeba mzobemzobe hapo Sinza. Kumbe hilo limwili lake ni mapovu tupu hakuna kitu nasikia alitaka kuleta ujinga wakamnyoosha katika muda mfupi tu na akatupwa kwenye defender na hakuna MTZ aliyemsaidia alifikiri makamanda wa mitandaoni watamsaidia.
 
View attachment 3099730
Jeshi la Polisi limemkamata na lina mshikilia Boniface Jacob mkazi wa Mbezi kwa Msakuzi Jijini Dar es Salaam kutokana na makosa ya kijinai anayotuhumiwa nayo.

Hivyo, wananchi wapuuze uwongo unaosambazwa mitandaoni kuwa ametekwa.

Imetolewa na:
David A. Misime - DCP Msemaji wa Jeshi la Polisi Makao Makuu ya Polisi
Dodoma, Tanzania.

Pia soma: Boniface Jacob adaiwa kukamatwa na watu waliokuja na gari aina ya defender. Kamanda Kitwinkwi asema hana taarifa hizo
Makhuluku tabu....

#,,Nchi Kwanza😍
 
Kosa lake la jinai halidhaminiki?
Mbona wengine makosa yao yanatajwa hadharani?

Au bado hamjampatia kichwa cha kumpa?
 
Kwa kauli ya Rais jana katoa Go ahead hapo nyuma aliwasema sana polisi wakaacha kamata kamata za wanasiasa , sahivi watu wajiandae kupelekwa sana mahakamani siyo Boniface tu hata wewe wa kazuramimba kigoma
 
[QUOTE="UCD, post: 51450104, member: 9842
Wauaji ni Chadema na wameanza kukamatwa!
[/QUOTE]
Huna hoja, huna ujualo zaidi ushabiki maandazi,
 
Wewe upo polisi au wewe ni polisi?

Mimi kutokuwepo TZ inakuumiza?

Tumeanza lini kupangiana pa kuishi wakati hata wewe unaweza kuja kuishi na hujazuiwa.
Sasa ukamanda wa mitandaoni unawadanganya wenzako kumbe wewe uko kwa mabeberu. Sasa wameanza kushughulikiwa kama alivyosema Rais
 
Mwenyezi Mungu atusaidie tusimame upande wa haki, tujitahidi pia kwa kutumia fikra zetu tusimame upande wa haki.

Duniani hapa tunapita tu, haya tunayoyafanya tusidanganyike kuna mahala yatatuletea shida kama sio sisi basi familia zetu.

Hakuna jambo baya kama kudhulumu maisha ya mwenzio bila sababu za msingi huku wewe na familia yako mkiishi, ikiwa haitoshi upande mwingine kuna mashabiki nao wanashangilia uovu wa wengine kudhulumiwa haki zao za kuishi.
Kwa namna yeyote ile ni dhambi na hatari sana kushabikia uovu kisa unafaidika nao, ni hatari na ni aibu kwa familia yako na laana yake itatafuna mahala kizazi chako.
 
Huyu na mnyika walitakiwa kukamatwa kitambo sana hawa ndio walipanga mauaji na kuwahi mitandaoni

USSR
Hujielewi wewe kiande! Unajiroposha tu humu sijui unanufaikaje! Tangu lini jinai ikawa mauaji? Hivi ni vitu viwili tofauti mbele ya Sheria, sijui unanielewa? Punguza ujuaji!
 
Back
Top Bottom