Jeshi la Polisi: Tumemkamata Boniface Jacob kwa makosa ya Jinai anayotuhumiwa nayo

Jumba la Meya mstaafu...ukiwakusanya police wote kanda maalumu mishahara yao na marupurupu haifikii thamani yake
 
Yani serikali inaona imeumbuka na kuchokwa kila Kona wanaamua kamatakamata ili wapooze mambo kumbe ndo wanazidi kuharibu
 
Makosa anayoshitakiwa nayo ni taarifa za mtandao wake wa X wa tarehe 12/09/2024 na 14/09/2024.
 
Hujielewi wewe kiande! Unajiroposha tu humu sijui unanufaikaje! Tangu lini jinai ikawa mauaji? Hivi ni vitu viwili tofauti mbele ya Sheria, sijui unanielewa? Punguza ujuaji!
Kwa hiyo unataka kusema kosa la mauwaji linaangukia kwenye madai na si jinai!!??
 
Jumba la Meya mstaafu...ukiwakusanya police wote kanda maalumu mishahara yao na marupurupu haifikii thamani yake
Kwa hiyo kwa kua mtu wako anamiliki mjengo ndiyo aachiwe kuvunja sheria!? Watu wote ni sawa mbele ya sheria, na wala haijalishi unamiliki nini ! Jamaa saa hizi yuko rumande, na kwenye jumba lake kuna kidume kimebonyea huko usiku wa leo!!
 
Nimesema tuu kaka...sina jambo
 
Back
Top Bottom