jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,329
- 25,263
Wewe hauko sawa hata kidogo. Kwanza wewe siyo mtanganyika.Hukunielewa mushi,na shida yako Mushi ni huo uchaga wako tuh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe hauko sawa hata kidogo. Kwanza wewe siyo mtanganyika.Hukunielewa mushi,na shida yako Mushi ni huo uchaga wako tuh
Unaakili timamu wewe ? Kazi ya jeshi la polisi nn nininiHuyu na mnyika walitakiwa kukamatwa kitambo sana hawa ndio walipanga mauaji na kuwahi mitandaoni
USSR
Kwa hiyo unataka kusema kosa la mauwaji linaangukia kwenye madai na si jinai!!??Hujielewi wewe kiande! Unajiroposha tu humu sijui unanufaikaje! Tangu lini jinai ikawa mauaji? Hivi ni vitu viwili tofauti mbele ya Sheria, sijui unanielewa? Punguza ujuaji!
Kwa hiyo kwa kua mtu wako anamiliki mjengo ndiyo aachiwe kuvunja sheria!? Watu wote ni sawa mbele ya sheria, na wala haijalishi unamiliki nini ! Jamaa saa hizi yuko rumande, na kwenye jumba lake kuna kidume kimebonyea huko usiku wa leo!!Jumba la Meya mstaafu...ukiwakusanya police wote kanda maalumu mishahara yao na marupurupu haifikii thamani yake
Nimesema tuu kaka...sina jamboKwa hiyo kwa kua mtu wako anamiliki mjengo ndiyo aachiwe kuvunja sheria!? Watu wote ni sawa mbele ya sheria, na wala haijalishi unamiliki nini ! Jamaa saa hizi yuko rumande, na kwenye jumba lake kuna kidume kimebonyea huko usiku wa leo!!