Pre GE2025 Jeshi la Polisi: Tumepata taarifa CHADEMA wanapanga Maandamano na Kuvamia Vituo vya Polisi Dar kwa wakati mmoja

Pre GE2025 Jeshi la Polisi: Tumepata taarifa CHADEMA wanapanga Maandamano na Kuvamia Vituo vya Polisi Dar kwa wakati mmoja

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Erythrocyte nashauri mwenyekiti atolee tamko kuhusu ujinga huu. Hii ni kuwapaka mavi chadema. Msinyamaze lipiet . Ni mbinu za kuiangamiza chadema. Kitakachofuata ni kuifuta na msajiri
Kama Magufuli alishindwa kuua Chadema hadi akafa yeye basi na hawa hawataweza, Chadema ni mpango wa Mungu
 
TAARIFA KWA UMMA

Agosti 28, 2024 Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam ilitoa maamuzi yakekuhusiana na_ shauri lililowasilishwa mbele yake ambapo miongoni mwamaamuzi iliyotoa ni pamoja na kutoa amri kwa Jeshi la Polisi kufanya upelelezikujua mahali walipo Viongozi wa Baraza la Vijana la CHADEMA (BAVICHA),Wilaya ya Temeke, (Deusdedit Soka na wenzake wawili) Jeshi la Polisi lilipokeaamri hiyo na kuongeza nguvu katika upelelezi ambao lilishaanza toka awalibaada ya kuripotiwa kupotea kwa viongozi hao.

Baada ya maamuzi hayo ya Mahakama Kuu, Jeshi la Polisi limepata taarifa zauhakika za Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)kufanya kikao kwa njia ya kielekroniki (zoom) na kukubaliana kwa vilehawajaridhika na maamuzi hayo ya mahakama kwa sababu hayakuakisimalengo yao, wafanye yafuatayo;
i) Waanze kuhamasisha wafuasi wao chinichini kufanya maandamano yakuelekea maeneo mbalimbali zikiwepo ofisi mbalimbali.
ii)Wahamasishe na kuunda vikundi vya vijana wapatao 20 wavamie vituo vyaPolisi vilivyopo Jijini Dar es Salaam kwa wakati mmoja.

Jeshi la Polisi linatoa onyo kali kwa yeyote atakaye endelea kuratibu,kuhamasisha na kushiriki katika uhalifu huo wakupangwa ambao lengo lake nikutaka kuvuruga amani ya nchi yetu baada ya kushindwa kwa mikakati yaoatashughulikiwa ipasavyo kwa mujibu wa sheria za nchi.

Jeshi la Polisi lingependa kusisitiza atakaye fika kituo chochote cha Polisi kwania ovu tumejiandaa na atashughulikiwa ipasavyo kwa mujibu wa sheria.Imetolewa na😀avid A. Misime - DCPMsemaji wa Jeshi la PolisiMakao Makuu ya PolisiDodoma, Tanzania.
View attachment 3082616

Intelligence ya polisi hulazimishwa kufanya kazi kuelekea CDM tu.
 
Sasa ni dhahiri Jeshi la Polisi limeamua kutumika bila hata kutumia akili

Hebu soma hii

View attachment 3082656View attachment 3082657

Jeshi la Polisi: CHADEMA imepanga kuhamasisha vijana kuvamia vituo vya Polisi
IMG-20230902-WA0019.jpg

Kufuatia Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kueleza kuwa hakuna uthibitisho unaoonesha kuwa viongozi wa Baraza la Vijana la CHADEMA (BAVICHA) wanashikiliwa na polisi na kuamuru viongozi hao kutafutwa mahali walipo, Jeshi la Polisi limesema limepata taarifa za uhakika kuhusu viongozi wa chama hicho kupanga vitendo vya kiuhalifu vitakavyohatarisha amani.

Katika taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi, imesema viongozi wa CHADEMA wamefanya kikao kwa njia ya kielekroniki (zoom) na kukubaliana waanze kuhamasisha wafuasi wa chama hicho kufanya maandamano ya kuelekea maeneo mbalimbali zikiwemo ofisi mbalimbali.

Sambamba na hilo, taarifa hiyo imesema walipanga kuhamasisha na kuunda vikundi vya vijana wapatao 20 wavamie vituo vya polisi vilivyopo jijini Dar es Salaam kwa wakati mmoja.

“Jeshi la Polisi linatoa onyo kali kwa yeyote atakaye endelea kuratibu, kuhamasisha na kushiriki katika uhalifu huo wakupangwa ambao lengo lake ni kutaka kuvuruga amani ya nchi yetu baada ya kushindwa kwa mikakati yao, atashughulikiwa ipasavyo kwa mujibu wa sheria za nchi,” imeeleza taarifa.

Aidha, taarifa hiyo imesisitiza kuwa “yeyote atakayefika kituo chochote cha Polisi kwa nia ovu, tumejiandaa na atashughulikiwa ipasavyo kwa mujibu wa sheria. “

View attachment 3082684
 

Attachments

  • IMG-20240830-WA0025.jpg
    IMG-20240830-WA0025.jpg
    404.8 KB · Views: 2
Jeshi la kipumbavu kuwahi kutokea duniani, Jeshi linaloongozwa na chama cha siasa, wanapata Taarifa za CHADEMA kuvamia vituo vya Polisi lakini wanashindwa kujua ni wapi walipo watekaji....upumbavu kiwango kikubwa sana
 
Jeshi la polisi linatumika vibaya, hapo wanawatoa kwenye reli ili watu waogope kuhoji na kukemea vitendo vya utekaji na uuaji..
 
TAARIFA KWA UMMA

Agosti 28, 2024 Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam ilitoa maamuzi yakekuhusiana na_ shauri lililowasilishwa mbele yake ambapo miongoni mwamaamuzi iliyotoa ni pamoja na kutoa amri kwa Jeshi la Polisi kufanya upelelezikujua mahali walipo Viongozi wa Baraza la Vijana la CHADEMA (BAVICHA),Wilaya ya Temeke, (Deusdedit Soka na wenzake wawili) Jeshi la Polisi lilipokeaamri hiyo na kuongeza nguvu katika upelelezi ambao lilishaanza toka awalibaada ya kuripotiwa kupotea kwa viongozi hao.

Baada ya maamuzi hayo ya Mahakama Kuu, Jeshi la Polisi limepata taarifa zauhakika za Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)kufanya kikao kwa njia ya kielekroniki (zoom) na kukubaliana kwa vilehawajaridhika na maamuzi hayo ya mahakama kwa sababu hayakuakisimalengo yao, wafanye yafuatayo;
i) Waanze kuhamasisha wafuasi wao chinichini kufanya maandamano yakuelekea maeneo mbalimbali zikiwepo ofisi mbalimbali.
ii)Wahamasishe na kuunda vikundi vya vijana wapatao 20 wavamie vituo vyaPolisi vilivyopo Jijini Dar es Salaam kwa wakati mmoja.

Jeshi la Polisi linatoa onyo kali kwa yeyote atakaye endelea kuratibu,kuhamasisha na kushiriki katika uhalifu huo wakupangwa ambao lengo lake nikutaka kuvuruga amani ya nchi yetu baada ya kushindwa kwa mikakati yaoatashughulikiwa ipasavyo kwa mujibu wa sheria za nchi.

Jeshi la Polisi lingependa kusisitiza atakaye fika kituo chochote cha Polisi kwania ovu tumejiandaa na atashughulikiwa ipasavyo kwa mujibu wa sheria.Imetolewa na😀avid A. Misime - DCPMsemaji wa Jeshi la PolisiMakao Makuu ya PolisiDodoma, Tanzania.
View attachment 3082616
This is unbeleivable, we need reforms ya hii tasis. Wakiambiwa wa prove allegation zao mahakamani wasije kimbia kesi
Yaani watu wapange kuchoma vituo vya polise kwa zoom?

Seriously?
 
pamoja na kutoa amri kwa Jeshi la Polisi kufanya upelelezikujua mahali walipo Viongozi wa Baraza la Vijana la CHADEMA (BAVICHA),Wilaya ya Temeke, (Deusdedit Soka na wenzake wawili) Jeshi la Polisi lilipokeaamri hiyo na kuongeza nguvu katika upelelezi ambao lilishaanza toka awalibaada ya kuripotiwa kupotea kwa viongozi hao.

Fanyieni kazi mliopewa na mahakama ingawa hamkupewa muda maalum wa kuikamilisha kama katika kesi hii :

REJEA MUHIMU: 17.10.2023
Pale aliyeshikiliwa na Polisi kinyume na sheria akashinda ombi lake la kufikishwa mahakamani kutoka anaposhikiliwa :

Habeas Corpus / Mlete Mtuhumiwa Mahakaman
i

Pale mahakama kuu ilipokubaliana na mleta maombi ya kutaka Mahakama Kuu itamke ameshikiliwa isivyo halali kisheria na kikatiba :

Pale jaji W.P. Dyansobera alipotoa hukumu kuwa mtuhumiwa anashikiliwa kinyume na sheria :


IN THE HIGH COURT OF TANZANIA
(DAR ES SALAAM DISTRICT REGISTRY)
AT PAR ES SALAAM
MISCELLANEOUS CRIMINAL APPLICATION NO. 132 OF 2023

ZAKARIA ANTHONY KAPAMA...................... APPLICANT


VERSUS


OFFICER COMMANDING STATION
OYSTERBAY(OCS)...........1st RESPONDENT

REGIONAL POLICE COMMANDER
OF KINONDONI..................... 2nd RESPONDENT


INSPECTOR GENERAL OF POLICE OF TANZANIA..... 3rd RESPONDENT


THE ATTORNEY GENERAL............4th RESPONDENT


RULING
16th & 17th October, 2023
DYANSOBERA, J.:

This is an application filed under Section 390 (1) (a) and (b) of the
Criminal Procedure Act [Cap.20 R.E.2022] whereby the applicant herein is seeking the following orders:

1. That this Honourable court be pleased to order the applicant
be released from the unlawful custody or detention of the
respondents forthwith.
2. That in the alternative thereof, this Honourable court be
pleased to order the appearance of the respondent before this

Page 1


Honourable Court to show cause why the corpus of the
applicant who is unlawfully detained d not be set at liberty.

3. That this Honourable court be pleased to issue an order
prohibiting the respondent from unlawfully detaining the
applicant for a longer period than permitted by law.

4. This court be pleased to issue an order compelling the
respondent to discharge their duties in accordance of with the
applicable law.

5. That any other order that this Honourable court deems fit to
grant.
An affidavit supporting the application has been sworn and filed by learned Advocate, Mr. Deogratias Alex Butawantemi. Although the respondents through Messrs. Clement Masua and Erick Bakilana, both
learned State Attorneys, intimated to file a counter affidavit, they have
not lived to their word.

At the time of hearing of this application, the applicant was
represented by Mr. Deogratias Alex Butawantemi. The respondents, though served, did not appear.

Submitting in support of the application, he argued as follows.
According to the court's order made last time, the respondents were to file their counter affidavit but none has been filed. In that respect, the court is invited to invoke its powers and by on the strength of the case of
Sisto Katabi @ Macho v. Republic, Misc. Criminal Application No. 63
of 2020, at p.3 and find that the application has not been factually opposed.

Counsel for the applicant prayed the court to grant the orders
prayed for under the Chamber summons and, in particular, to order the

Page 2


corpus of the applicant one Zakaria Kapama be released from unlawful custody or detention of the respondents, prohibiting the respondent from
unlawfully detaining the applicant for longer period than is required by law and issue an order compelling the respondents to discharge their
duties in accordance to the law applicable in our jurisdiction.

On the court's power to issue directions of nature of habeas corpus, Section 390 of the Criminal Procedure Act [Cap. 20 R.E.2022] is clear and
provides as hereunder: -
390.-(1) The High Court may, whenever it thinks fit, direct-

(a) that any person within the limits of Mainland Tanzania be
brought up before the court to be dealt with according to law;

(b) that any person illegally or improperly detained in public or
private custody within such limits be set at liberty;

(c) that any prisoner detained in any prison situate within such limits be brought before the court to be there examined as a witness in any matter pending or to be inquired into in such court;

(d) that any prisoner detained as aforesaid be brought before a
court-martial or any commissioner acting under the authority or any commission from the President for trial or be examined touching any
matter pending before such court-martial or commissioner
respectively;

(e) that any prisoner within such limits be removed from one
custody to another for the purpose of trial; and

(f) that the body of a defendant within such limits be brought in ona return of cepi corpus to a writ of attachment.

Page 3

On the definition of the parameters of the writ of habeas corpus adsubjiciendum was well elaborated in the case of Joviah Karuhanga
v. the Inspector General of Police, M.C. 86 of 2013 thus:
The purpose for a writ habeas corpus ad subjiciendum is to review the legality of the applicant's arrest, imprisonment and detention and challenge the authority of the prison or jail warden to continue holding the applicant. It ensures that a prisoner can be released
from unlawful detention i.e., detention lacking sufficient cause or evidence or detention incommunicado. The detention must therefore be forbidden by law.

In the case under consideration, it is averred in the supporting
affidavit that the applicant one Zacharia Anthony Kapama is the Director of Nezak Investment Limited, the company which also owns KP Motors. It deals with business of importation of motor vehicles.

On 29th September, 2023 the police arrested the applicant and put him under custody and is still within their custody at Oyster Bay Police Station. It is further averred that the applicant is being detained without being granted police bail or being arraigned in a competent authority.

It is also averred that the detention is unlawful,
as pointed out earlier, at the time of hearing this application, the
respondents were summoned but they did not make appearance in court and there is no counter affidavit filed to counter the contents in the
applicant's affidavit. As rightly pointed out by Mr. Deogratias Alex Butawantemi, the applicant's learned Counsel and on the authority of the case of Sisto Katabi @ Macho v. R., Miscellaneous Criminal Application

Page 4


Number. 63 of 2020, 'failure to file a counter affidavit is a signification that the
application is not factually opposed'.

Having heard the submission of the applicant's learned Counsel and after taking into account the unopposed applicant's affidavit filed in support of the application, I am in no doubt that the applicant's detention
is unlawful and this is a fit case where the provisions of Section 390 (1) of the Criminal Procedure Act (supra), should be invoked.
Accordingly, the application is granted and acting under paragraph (a) of sub-section (1) of section 390 of the Act, I make an order against the respondents that the applicant be brought up before this court to be dealt with according to law.

This order to be complied with not later than after tomorrow.
It is so ordered. Ck . f

W.P. Dyansobera
JUDGE
17.10.2023

Page 5

Source : Zakaria Anthony Kapama vs. Officer Commanding Station Oyterbay (OCS) & 3Others) (Misc. Criminal Application No. 132 of 2023) [2023] TZHC 21830 (17 October 2023)
 
Mmepewa muda mwingi 2024 na Mahakama Kuu, hivyo msicheleweshe kuwaleta Deusdedith na Wenzie wa Temeke, Kombo Mbwana na wengine.

Watu wanaaza kupandisha mori kama watu wa nyikani kule Ngorongoro, sasa nao watu wa mujini kuja kupiga kambi kwa amani mbele ya ofisi za umma ili macho na masikio ya wadau wa ndani na kimataifa wapate taarifa hii ya watu waliopotea. Hima na mapema muwapeleke mahakamani watu ambao mna washikilia


REJEA MWAKA 2023 Habeas Corpus / Mlete Mtuhumiwa au mwili wake Mahakamani

MAHAKAMA YAIBANA POLISI KWA KUKAA NA MTUHUMIWA SIKU 18
Mahakama Kuu, Masjala ya Dar es Salaam imeliamuru Jeshi la Polisi nchini kumfikisha mahakamani Mkurugenzi wa Kampuni ya Nezak Investment Limited, Zakaria Kapama ambaye yuko mahabusu kwa siku 18 bila kufikishwa kortini.

Kifungu cha 32 cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai (CPA) ya mwaka 1985 na marekebisho yake, kinataka mtuhumiwa kufikishwa mahakamani ndani ya saa 24, isipokuwa kwa makosa yale ambayo adhabu yake inakuwa ni kunyongwa hadi kufa.

Kwa mujibu wa kifungu hicho, ikiwa haiwezekani, basi mtuhumiwa aachiwe kwa dhamana, lakini kumekuwa na kilio katika vituo mbalimbali vya polisi kuwa, baadhi ya watuhumiwa husota muda mrefu mahabusu za polisi bila kufikishwa kortini kwa wakati.

Amri hiyo ilitolewa jana na Jaji Wilfred Dyansobera, baada ya maombi ya jinai yaliyowasilishwa mahakamani na Kapama dhidi Mkuu wa Kituo cha Polisi (OCS) cha Oysterbay, Kamanda wa Polisi Kinondoni na Inspekta Jenerali wa Polisi.

Katika maombi hayo namba 132 ya 2023, Kapama alimuunganisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), kama mjibu maombi wa nne na aliiomba Mahakama kuwaagiza wajibu maombi hao kumwachia wanavyomshikilia au kumweka kizuizini isivyo halali.

Pia, aliomba kama hawatamwachia, basi Mahakama iwaamuru wajibu maombi kufika mahakamani kueleza sababu za kumnyima uhuru wake, kumzuia, kumuweka kizuizini nje ya muda wa kisheria na kuwataka kutimiza majukumu kwa mujibu wa sheria.

Kupitia kwa wakili wake, Deogratias Butawantemi, Kapama ambaye pia kampuni yake inamiliki KP Motors inayohusika na uagizaji wa magari, anaeleza Septemba 29 mwaka huu 2023 alikamatwa na polisi na kuwekwa mahabusi Kituo cha Oysterbay.

Kwa mujibu wa hati ya kiapo chake, hadi anawasilisha maombi hayo juzi alikuwa bado anashikiliwa kituoni hapo bila kupewa dhamana wala kufikishwa mahakamani, kama sheria za nchi zinavyoelekeza.

Akitoa uamuzi wa maombi hayo jana, Jaji Dyansobera aliwaagiza Mkuu wa Kituo cha Polisi Oysterbay na wajibu maombi wenzake, kuhakikisha mleta maombi huyo anafikishwa mbele ya Mahakama na amri hiyo itekelezwe sio zaidi ya siku ya leo (Jumatano).

(Imeandikwa na Daniel Mjema)

Soma Hukumu : Ya Jaji Wilfred Dyansobera, wa Mahakama Kuu ya Tanzania

Source : Zakaria Anthony Kapama vs. Officer Commanding Station Oyterbay (OCS) & 3Others) (Misc. Criminal Application No. 132 of 2023) [2023] TZHC 21830 (17 October 2023)
 
Taarifa ya kipuuzi sana, watu wazima mnakaa mnatunga huu upuuzi. Vijana 20 wavamie vituo vyote, mko sawa? Ndiyo jeshi la polisiccm tunalolitegemea litende haki!!!

Muda huu mngeleta feedback ya wanaotekwa, mnakuja na hoja kihoja. Madaraka yana mwisho, damu za watu zitawarudia, kuanzia mtoa amri mpaka wa mwisho.
 
Back
Top Bottom