Pre GE2025 Jeshi la Polisi: Tumepata taarifa CHADEMA wanapanga Maandamano na Kuvamia Vituo vya Polisi Dar kwa wakati mmoja

Pre GE2025 Jeshi la Polisi: Tumepata taarifa CHADEMA wanapanga Maandamano na Kuvamia Vituo vya Polisi Dar kwa wakati mmoja

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Eti "jeshi la polisi linatoa onyo kwa waliohusika"

Kwanini nyie polisi mtoe onyo kwa magaidi wanaopanga kuvamia vituo vya polisi, badala ya kuwasaka na kuwakamata?

Polisi mmewaogopa magaidi sasa mmeamua kuwaacha wazidi kujipanga vizuri kwa njia nyingine ili kutimiza malengo yao ovu?

Najua mnaogopa kuwakamata muwapeleke mahakamani kwasababu mnajua mtaumbuka mbele ya safari.

Hili jeshi letu linatumika hovyo sana na CCM, linapewa mipango ya hovyo isiyoeleweka matokeo yake linazidi kujivua nguo lenyewe.

Hebu waachieni Soka na wenzake, acheni haya maigizo yenu yanatuchosha akili wenye akili zetu timamu, na lile igizo la Singida liliishia wapi?
 
Haya Nasubiri Chadema wajibu, lasivyo hawa watachoma kituo makusudi wawasingizie .
 
Polisi acheni kutumika mnajitukanisha nyie wenyewe na mnafanya hata serikali ichukiwe hii mbinu ya kumuita mbwa jina baya ili umuuwe inajulikana hapo mshapanga kila kitu hadi chadema fake wajinga kabisa nyie.
 
Zoom si kila mmoja anasikia sasa mtapangaje siri za zoom? UONE UONGO WA POLISI/CCM

Zoom is a communications platform that allows users to connect with video, audio, phone, and chat. Using Zoom requires an internet connection and a supported device. Most new users will want to start by creating an account and downloading the Zoom Client for Meetings.


MY TAKE MSIJISUMBUE NA UCHAGUZI, KUNA VIFO VINGI VINAKUJA KWA STAILI HII!

..mkutano ktk Zoom ni mpaka aliyeuanzisha akualike ndio tutaweza kujiunga na kufuatilia.
 
Umshughulikie nani natumbo kubwa hivyo kama pipa wewe!
 
Intresting hawaji na majibu ya kueleweka kuhusu watu "wanaopotea"...wao ni matamko yasiyoleta majibu tu!
Huu ni mwanzo tu..watu wakijielewa mbona wao wachache sana,watakimbia wenyewe..U CAN FOOL SM PEOPLE SMTYMS..BUT U CANT FOOL THEM ALL THE TIME!
Waoneshe weledi..waache CCM Ijibu hoja kwa hoja sio wao kutumika!
 
Jeshi la polisi Tanzania limetoa taarifa kua viongozi wa chama cha demokrasiaq na maendeleo (CHADEMA) wamefanya kikao kwa njia ya teknolojia(ZOOM) na kukubaliana kwa kua hawakuridhishwa na maamuzi ya mahakama kuu Tanzania kanda ya Dar es salaam kuhusu kutoweka kwa mwenyekiti wa BAVICHA wilaya ya temeke Deusdedith Soka na wenzake, wamekubaliana kufanya maandamano kuelekea ofisi mbalimbali za kiserikali ikiwemo vituo vya polisi kwa kuunda vikundi vya vijana 20 wavamie vituo vya polisi vilivyopo Dar es salaam. kupitia taarifa iliyotolewa na jeshi la polisi kupitia msemaji wake DCP David Misime aliyoitoa leo Agosti 30 , Jeshi la polisi limetoa onyo kali kwa yeyote atakae endelea kuratibu,kujiunga,kuchochea kuvuruga amqani ya nchi baada ya kushindwa mikakati yao, atashuhulikiwa ipasavyo kwa mujibu wa sheria za nchi.
Screenshot 2024-08-30 141047.png
 
TAARIFA KWA UMMA

Agosti 28, 2024 Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam ilitoa maamuzi yakekuhusiana na_ shauri lililowasilishwa mbele yake ambapo miongoni mwamaamuzi iliyotoa ni pamoja na kutoa amri kwa Jeshi la Polisi kufanya upelelezikujua mahali walipo Viongozi wa Baraza la Vijana la CHADEMA (BAVICHA),Wilaya ya Temeke, (Deusdedit Soka na wenzake wawili) Jeshi la Polisi lilipokeaamri hiyo na kuongeza nguvu katika upelelezi ambao lilishaanza toka awalibaada ya kuripotiwa kupotea kwa viongozi hao.

Baada ya maamuzi hayo ya Mahakama Kuu, Jeshi la Polisi limepata taarifa zauhakika za Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)kufanya kikao kwa njia ya kielekroniki (zoom) na kukubaliana kwa vilehawajaridhika na maamuzi hayo ya mahakama kwa sababu hayakuakisimalengo yao, wafanye yafuatayo;
i) Waanze kuhamasisha wafuasi wao chinichini kufanya maandamano yakuelekea maeneo mbalimbali zikiwepo ofisi mbalimbali.
ii)Wahamasishe na kuunda vikundi vya vijana wapatao 20 wavamie vituo vyaPolisi vilivyopo Jijini Dar es Salaam kwa wakati mmoja.

Jeshi la Polisi linatoa onyo kali kwa yeyote atakaye endelea kuratibu,kuhamasisha na kushiriki katika uhalifu huo wakupangwa ambao lengo lake nikutaka kuvuruga amani ya nchi yetu baada ya kushindwa kwa mikakati yaoatashughulikiwa ipasavyo kwa mujibu wa sheria za nchi.

Jeshi la Polisi lingependa kusisitiza atakaye fika kituo chochote cha Polisi kwania ovu tumejiandaa na atashughulikiwa ipasavyo kwa mujibu wa sheria.Imetolewa na😀avid A. Misime - DCPMsemaji wa Jeshi la PolisiMakao Makuu ya PolisiDodoma, Tanzania.
View attachment 3082616
Uchu wa madaraka alionao Samia unamfanya aweweseke, kila akilala anaota lissu akimtoa madarakani kwa ushindi wa kishindo
 
Siyo maandamano tu, inaweza kuwa zaidi ya hapo kama mtaendelea kufumbia macho mambo ya hovyo yanayoendelea uraiani
 
 
TAARIFA KWA UMMA

Agosti 28, 2024 Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam ilitoa maamuzi yakekuhusiana na_ shauri lililowasilishwa mbele yake ambapo miongoni mwamaamuzi iliyotoa ni pamoja na kutoa amri kwa Jeshi la Polisi kufanya upelelezikujua mahali walipo Viongozi wa Baraza la Vijana la CHADEMA (BAVICHA),Wilaya ya Temeke, (Deusdedit Soka na wenzake wawili) Jeshi la Polisi lilipokeaamri hiyo na kuongeza nguvu katika upelelezi ambao lilishaanza toka awalibaada ya kuripotiwa kupotea kwa viongozi hao.

Baada ya maamuzi hayo ya Mahakama Kuu, Jeshi la Polisi limepata taarifa zauhakika za Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)kufanya kikao kwa njia ya kielekroniki (zoom) na kukubaliana kwa vilehawajaridhika na maamuzi hayo ya mahakama kwa sababu hayakuakisimalengo yao, wafanye yafuatayo;
i) Waanze kuhamasisha wafuasi wao chinichini kufanya maandamano yakuelekea maeneo mbalimbali zikiwepo ofisi mbalimbali.
ii)Wahamasishe na kuunda vikundi vya vijana wapatao 20 wavamie vituo vyaPolisi vilivyopo Jijini Dar es Salaam kwa wakati mmoja.

Jeshi la Polisi linatoa onyo kali kwa yeyote atakaye endelea kuratibu,kuhamasisha na kushiriki katika uhalifu huo wakupangwa ambao lengo lake nikutaka kuvuruga amani ya nchi yetu baada ya kushindwa kwa mikakati yaoatashughulikiwa ipasavyo kwa mujibu wa sheria za nchi.

Jeshi la Polisi lingependa kusisitiza atakaye fika kituo chochote cha Polisi kwania ovu tumejiandaa na atashughulikiwa ipasavyo kwa mujibu wa sheria.Imetolewa na😀avid A. Misime - DCPMsemaji wa Jeshi la PolisiMakao Makuu ya PolisiDodoma, Tanzania.
View attachment 3082616

Ukosefu wa amani ya moyoni, utekaji, utesaji, mauaji holela, na tishio la kuanguka kwa dola ya Tanzania: Kwa nini Baraza la Usalama la Taifa linawavumilia watekaji, watesaji na wauaji wanaowashughulikia Watanzania wanaosema "Siitaki CCM na serikali yake"?

1725526731965.png



1725017045340.png


Tanzania ni mwanachama wa Umoja wa Mataifa. Na lengo la 16 katika Ajenda ya Umoja wa Mataifa iliyotajwa katika Mpango Mkakati wa Maendeleo Endelevu wa miaka 15, tangu 2015 hadi 2030, ni “kutunza amani, kulinda haki na kujenga taasisi imara” kwa kutumia njia mbalimbali.

Njia hizo ni Pamoja na “kupunguza aina zote za mabavu na vifo vitokanavyo na mabavu hayo,” “kupunguza ukatili dhidi ya watoto,” “kufanikisha utoaji haki,” “kupunguza rushwa,” na “kuimarisha utawala wa sheria.”

Lakini, watekaji, watesaji, wauaji wa raia wanaoikosoa serikali, Pamoja na viongozi wanaowalea watekaji, watesaji na wauaji hawa ni watu wanaofanya matendo yatakayoifanya Tanzania ishindwe kufikia lengo hili.

Kipekee, matatizo ya utekaji, utesaji, na mauaji ya raia wanaoikosoa CCM na serikali yake yanatukumbusha kuhusu maboresho ya Sheria ya Baraza la Usalama la Taifa.

Baraza hili lilianzishwa kisheria mwaka 2010 kwa ajili ya kazi maalum ya kulisaidia Taifa kuepukana na majanga ya kiulinzi na kiusalama kama vile genocide, politicide, democide, failed state na state demise.

Wajumbe wa Baraza hili ni sita, yaani:

  • Rais wa SMT, Ms. Samia Suluhu Hassan,
  • Makamu wa rais SMT, Dkt Philip Mpango,
  • Rais SMZ, Dkt Hussein Mwinyi,
  • Waziri Mkuu SMT, Mr. Kassim Majaliwa,
  • Waziri Kiongozi SMZ, na
  • Katibu Mkuu Kiongozi SMT, Dkt Kusiluka.
Kuhusu tatizo la "failed state," wanalopaswa kulizuia, tunajua mambo yafuatayo:

"A failed state is a state that has lost its ability to fulfill fundamental security and development functions, lacking effective control over its territory and borders.
" Common characteristics of a failed state include a government incapable of tax collection, law enforcement, security assurance, territorial control, political or civil office staffing, and infrastructure maintenance.
" When this happens, widespread corruption and criminality, the intervention of state and non-state actors, the appearance of refugees and the involuntary movement of populations, sharp economic decline, and military intervention from both within and outside the state are much more likely to occur.
"In short state failure increases the likelihood of genocide and politicide."

Na sasa ni wazi kwamba nchini Tanzania kuna "democide" inayoendelea dhidi ya wafuasi wa vikundi mbalimbali kwa sababu tu ya kutamka maneno "Siitaki CCM," wakiwemo wanachama wa Chadema, lakini hakuna hatua zinazochukuliwa na Baraza la Usalama la Taifa.

Hivyo ushauri wangu kwa Baraza hili ni kwamba, kwa kuwa policide dhidi ya wafuasi wa Chadema ni ushahidi kuwa Rais Samia ameshindwa Gwaride la Ujasiriadola, na kwa kuwa sasa Tanzania ni kama mji wa "nshonzi," basi Baraza livikumbushe vyombo vya dola kuzuia policide hii na kuliambia Taifa kina Soka wako wapi, kwa nini na wanafanya nini huko.

Kinyume cha hapo, umma utahitimisha kwamba sasa kuna Watanzania wako chini ya ukoloni wa Rais Mwarabu mwenye kiu ya damu ya Waafrika. Utetezi unafuata.

Maneno ya msingi katika Taarifa ya Jeshi la Polisi inayojadiliwa hapa ni "kuvuruga amani ya nchi," yaani "breach of peace."

Kwa kuzingatia maneno hayo, sasa tujiulize na kujibu swali kuntu lifuatalo: Hivi nani wanavuruga amani ya nchi, wafuasi wa Chadema au vyombo Vya dola?

Napendekeza kwamba vyombo vya dola ndio vinavuruga amani ya nchi. Nitaeleza.

Amani ya nchi ni ya aina nyingi. Kuna amani ya ndani ya mwili wa mtu kutokana na masikilizano yaliyopo kati ya moyo na mwili wa mtu huyu.

Na kuna amani ya nje ya mwili kutokana na masikilizano yaliyopo kati ya mwili wa mtu na mazingira yake ya nje. Ukosefu wa amani ya nje unaondoa amani ya ndani.

Kwa ujumla, kila binadamu na kila taasisi kama vile chama cha siasa au NGO ni vitu hai kila kimoja kikiwa inamiliki "tufe la ukuu wa nafsi ya kiutu" linalovipa haki ya kuweka mipango ya kujihami dhidi ya uvamizi haramu kutoka nje ya tufe hilo unaoweza kufanywa na majirani vikiwemo vyombo vya dola

Kwa sababu hii, njia moja wapo ya kuvuruga amani ya nje ni kuendesha nchi kwa kutumia "extra-judicial administration principles," ambazo kawaida hutumika wakati wa msimu wa vita.

Kuhusu jambo hili rafiki yangu mmoja anasema kuwa:


"In times of war, law remains silent,” a maxim meaning that, "during a military emergency, civil laws may be suspended in deference to the national interest in self‐defense," suggesting that, "during armed conflicts, the rule of law is seldom or never observed."

Lakini, hakuna tangazo la vita nchini Tanzania. Na hakuna tangazo la hali ya hatari pia. Kwa kutumia vigezo hivi ni hitimisho la kimantiki kuwa utekwaji wa kina Soka umeminya haki zao zinazolindwa kikatiba bila uhalali wowote, umevuruga amani ya nchi, na vyombo vya dola vinalo jukumu la kurejesha amani hiyo..

Hivyo, ushauri wangu kwa wakubwa ni huu: Njia bora zaidi ya kuzuia hasira ya umma ni kutoa taarifa rasmi waliko watekwaji hao na sababu za kutekwa kwao.

Kigugumizi kilichopo kwa sasa hakina sababu nzuri hata kidogo. Rafiki yangu mmoja ameniambia hivi:


"Honestly speaking, every trained and qualified security threats analyst will confirm that, there is no clear, present and imminent security threat which can be posed by Soka types of citizens, to an extent of warranting neutralizing the threat through abduction, torture and annihilation of a suspect."

Hivyo, kwa jeshi la polisi kujiandaa kuwakabili watu wenye hasira kutokana na makosa yaliyofanywa na vyombo vya dola sio uamuzi sahihi.

Hasira hizo walizo nazo wazazi, ndugu, na marafiki wa kina Soka ni hasira halali.

Yaani, ndugu zao wametekwa kinyume cha taratibu za kisheria, tena ndani ya dola inayoitwa Jamhuri ya Muungano wa Kidemokrasia ya Tanzania inayoongozwa kikatiba, badala ya kufuata matamko ya kichifu yasiyotabirika.

Kimantiki, ama kina Soka wametekwa na Jeshi la Polisi, au wametekwa na Makachero wa Idara ya Usalama wa Taifa, au wametekwa na Kundi la kihalifu. Tayari Jeshi la Polisi wamekana kuhusika.

Kuna ushahidi wa kimazingira na wenye kuaminika kuonyesha kwamba kikundi cha kihalifu hakijahusika pia. Kwa hiyo nadhari ya kujaribu kuyasingizia makundi ya kihalifu na kishirikina ni dhaifu sana, maana ushahidi wake ni hafifu.

Badala yake, kuna ushahidi mkubwa wenye kuonyesha kwamba, makachero wa Idara ya Usalama wa Taifa ndio wamehusika, katika kupanga na kutekeleza utekwaji wa kina Soka.

Na wamehusika katika namna ambayo inaleta hali ya "kuvunja amani ya nchi" kwa sababu ya kukiuka taratibu za kisheria za ukamataji wa watuhumiwa wa uhalifu.

Hii maana yake ni kwamba Kanuni za Idara ya Usalama wa Taifa ndio zimetumika kuwakamata kina Soka.

Kanuni hizi zimetengenezwa chini ya vifungu vya 5 na 22 vya "The Tanzania Intelligence And Security Service Act(1996)," kama ilivyorekebishwa mwaka 2023. Vifungu hivi vinasomeka kama ifuatavyo:


"5(1) Subject to the control of the President, the functions of the Service shall be—
“(a) gather, obtain, correlate and evaluate intelligence relevant to security ...;
(b) .......................................
(c) .......................................
(d) .... to institute surveillance."

"22(1) The President may, upon recommendation of the Director General, make regulations providing for
(a) ........................;
(b) the code of conduct for all officers and employees of the Service ... ;
(c) ........................;
(d) the making and issue of reports, warrants or other documents for the purposes of the Act;
(e) ..............................;
(f) ...............................
(2) Any regulations made under subsection (1) shall be published only to officers of the Service and in such manner as the Minister determines."

Maneno ya msingi katika vifungu hivi vya sheria ya TISS ni "surveillance" na "warrant."

Waandishi mahiri, Sandi J. Davies na Lawrence J. Fennelly (2020), katika kitabu walichokihariri , "The Professional Protection Officer: Practical Security Strategies and Emerging Trends" kilichochapishwa huko Oxford kupitia kampuni ya "Butterworth-Heinemann," kilichoambatanishwa, katika sura ya 19-23, wanaripoti mambo yafuatayo kuhusu "surveillance operations":


Foundations for Surveillance...

In most media, the concept of surveillance is represented as a man in a wrinkled, coffee stained suit or an extremely large, sophisticated, and complex electronic array that requires three or more people to monitor.
In reality, the typical surveillance operation falls between these two levels of complexity and utilizes the combination of both personnel and technologies effectively.
The basic goal of surveillance is to obtain information that might not be immediately available without a concerted effort, focused attention on the subject(s) and appropriately refined observational skills.

Surveillance operations can be described based on the type of activity, covert and overt, personal and electronic, static and mobile, or digital…
  • Covert operations are those done in secret without the knowledge of the subject.
  • Overt operations are out in the open and can usually be easily identified as a surveillance activity.
  • Personal operations are those carried out in person by individuals or teams of operatives.
  • Static surveillance operations are intended to determine the activities of a particular home or business.
  • Mobile surveillance operations are focused on the activity of the individual subject of the surveillance regardless of location.
  • Electronic operations can range from video surveillance systems to transmission interception and receipt of other electronic information.
  • Digital surveillance may also be referred to as activity monitoring and is focused on the digital footprints of the subject of surveillance….
Covert personal surveillance is the act of a surveillant watching a subject from a location of concealment, or in a manner in which the surveillance is not obviously being carried out….
Overt personal surveillance is the execution of visible and open inspection, such as when on patrol. The act of gathering information is just as important as the deterrent value of such an operation….
Covert Electronic Surveillance: The use of hidden cameras, voice and electronic recording equipment, and similar devices falls within this category…
The intent of covert electronic surveillance is to surreptitiously record activities, intercept communications in the form of radio or other electronic means, or record conversations of the subject....
Overt electronic surveillance involves the utilization of visible static or pan/tilt/zoom (PTZ) cameras to observe activities in a particular area…
Report Writing and Field Notes…
As in many other professions, reports are essential to the security industry. In fact, report writing is one of the essential functions for security officers.
Some security professionals list the primary directives of a security officer as detecting, deterring, and reporting. Other professionals state that the main duties of security officers are observing and reporting…
There are certain qualities that all effective reports should have. A good way to remember the qualities of a well-written report is the “Three (3) C’s of report writing.”
The 3C’s of report writing are a guideline to the characteristics of a good report: clear, concise, and complete…
Clear—Refers to the readability and understandability of the report…
Concise—A good acronym to remember when it comes to writing reports is K.I.S.S. (Keep It Short and Simple). Conciseness has to do with the brevity of the report…
Complete—This means ensure that all of the details are included in the report. One method to accomplish this is to consider the “5W’s and 1H of report writing,” which is a guide to ensuring that a report is complete.
It requires that you answer the following questions as they relate to the incident: Who, What, Where, When, Why, and How?
Obviously, each question is not applicable to every incident; however, this is a very thorough starting point. Examples of questions that should be answered in the report are listed below:
Who:
• Who is the victim/complainant?
• Who is the culprit/accused?
• Who responded?
• Who was notified?
• Who witnessed the incident?
What:
• What happened?
• What was the consequence?
• What was the response?
• What were the badge numbers of the police who arrived?
• What was the truck number of the ambulance that arrived?
Where (be exact: include address, floor, room number, etc.):
• Where did the incident occur?
• Where was the victim taken?
• Where was the suspect taken?
• Where specifically in the building?
When (this includes the day, date, and time):
• When did the incident occur?
• When did the police or ambulance arrive?
• When was the incident reported?
Why:
• Why did the incident occur?
• Why were the police called?
• Why did security respond?
• Why did the alarm sound?
How:
• How was the incident reported?
• How was the incident discovered?
• How was the suspect apprehended?
• How was the issue resolved?
Writing a quality report is one of the most important duties of a security professional. It is essential to remember to remain truthful and honest in your reports.
Security professionals are entrusted with the responsibility of protecting the assets of others; are given access to areas, items, and information only because of the responsibility of their position; and, therefore, should act in an ethical and moral manner.
One’s ability to communicate effectively through written reports may directly affect career advancement. Reports are a reflection of the author and in many ways reflect their competency at performing their job functions.
Additionally, reports may be used for legal matters, recalling the details of incidents, and determining which security or safety issues must be addressed more thoroughly...
Investigation: Concepts and Practices for Security Professionals...
Surveillance is an essential investigative activity for security professionals. Surveillance can accomplish various objectives:
  1. Identify suspects in a crime such as theft, trespassing, or workplace drug use.
  2. Record the movements and associations of suspects.
  3. Identify patterns of criminal activity or workplace misconduct.
  4. Collect information to supplement an investigation.
  5. Locate suspects or stolen property.
  6. Prevent crimes or other losses from occurring.
Once objectives have been identified, the planning process for surveillance can begin. The entire planning process consists of the following steps:
  1. Establish the objective of the surveillance. What is the purpose behind the investigation?
  2. Reconnaissance (pre-surveillance) of the area where the surveillance observations will be conducted. Examine the area for routes of entry and exit as well as vantage points from which to observe. Are there alternative locations to observe if original vantage points are blocked or not available?
  3. Collect as much information as possible on the background(s) of the subject(s). Knowledge on the subject being observed can have important bearing on the safety and success of the surveillance. Knowing an accurate description of a person, their car or type of transportation, and any unique clothing can help improve the effectiveness of surveillance. Knowing the person’s habits (such as smoking or walking with a limp) or potential for danger (whether they carry weapons or have a criminal history of violence) is also critical.
  4. Calculate the personnel requirements. Often a minimum of two people will be needed if the surveillance lasts for any appreciable period of time or if there is danger present. In many circumstances, there might not be the budget or availability for two or more people to work together on surveillance, so options and alternatives may include the use of specialized equipment or techniques that can minimize the risk of danger.
  5. Establish communication. Cell phones and radios are essential tools. A laptop or tablet device might also be useful if surveillance personnel are also observing footage from external or remote camera systems. Privacy and continuity of communication are essential, so the presurveillance work must also address any potential for dead spots in communication by cell phones, and also avoid the use of Wi-Fi hot spots that could allow others to intercept communications.
  6. Calculate equipment needs. Equipment may consist of binoculars, digital cameras and camcorders, extra batteries and memory cards, power inverters and chargers, logbook, notebook or report forms, hidden cameras, unmarked surveillance vehicles, and disguises such as hats, coats, and glasses. If surveillance is by vehicle, then additional preparations should be made to see that the vehicle is correctly fitted too.

Chini ya marekebisho ya mwaka 2023, na kwa kuzingatia misingi hii ya "surveillance" sasa tunaambiwa hivi:

“4(3) The Service shall operate as one of the defence and security organs under the general superintendence of the President.”

Aidha, chini ya marekebisho haya, tunaambiwa kwamba:

"5(2) Save as otherwise provided in any other written law, it shall not be a function of the Service (a) to enforce measures for security."

Maneno “Save as otherwise provided in any other written law,” hayakuwepo kabla. Kwa maneno haya mlango umefunguliwa kwa TISS kutafuta mianya ya kisheria kukamata watu.

Kadhalika, chini ya marekebisho haya, tunaambiwa kwamba:


"Security" means the protection of the United Republic from ‘any acts including acts of terrorism,’ espionage, sabotage and subversion, whether or not it is directed from or intended to be committed within the United Republic.

Hapo awali maneno "any acts" hayakuwepo. Sasa uwepo wake unatoa mamlaka yasiyo na ukomo kwa TISS katika namna yake ya kutekeleza majukumu ya kiusalama. Kupitia mlango huu wanaweza kuingilia majukumu ya polisi bila shida yoyote.

Pia, katika marekebisho ya mwaka 2023, kuna aya mpya imeingizwa kwa ajili ya kuwapa kinga maafisa usalama dhidi ya makosa ya jinai watakayoyafanya kutokana na kile kinachoitwa "nia njema," bila kuweka kigezi cha nia njema. Tunasoma:


“19(1) No action or other proceedings shall lie or be instituted against the Director General or officer of the Service for or in respect of any act or thing done or omitted to be done in good faith in exercise or purported exercise of his function under this Act.”

Na ni muhimu kuelewa maana ya maneno kwamba, "regulations ...shall be published only to members of the Service."

Maneno haya yanamaanisha kuwa kanuni hizi ni siri, na zinaratibu matendo yanayofanywa kwa siri, yaani "covert surveillance operations," yakiwa yanatekelezwa na maafisa wa Idara ya Usalama wa Taifa.



Hata hivyo, kanuni zote zinazoruhusu "surveillance operations" zinataka kazi hizi zifanyike chini ya waranti ("warrant").

Hiki ni kibali maalum cha kimaandishi kilichosainiwa na Ofisa mwenye mamlaka ya kufanya hivyo, ambapo mamlaka yake yanawekewa mipaka na Katiba ya nchi.

Kwa hiyo sasa watu wanajiuliza maswali kadhaa:

  • Je, kilitolewa kibali halali kwa ajili ya kuwateka kina Soka?
  • Kama kibali hicho kilitolewa, kilisainiwa na nani?
  • Kama kibali hicho kilitolewa, mipaka ya maagizo yaliyomo ni ipi?
  • Yaani, kama kibali hicho kilitolewa, maagizo yaliyomo yanawaruhusu watekaji kutesa na kuua mateka wao?
  • Je, kama kibali kilichotolewa kina maagizo yanayowaruhusu watekaji kutesa na kuua mateka wao, hiyo ndio ilikuwa dhamira ya Bunge lilipotunga kifungu cha 22 kilichonukuliwa hapo juu?
  • Kwa maneno mengine, Bunge la Tanzania liliipatia serikali, kupitia Idara ya Usalama wa Taifa, mamlaka ya kuteka, kutesa na kuua watanzania?
  • Kama jawabu ni ndio, Je, wapiga kura waliwatuma Wabunge kutunga sheria inayotoa mamlaka ya aina hiyo kwa serikali?
  • Kama masharti yaliyo kwenye waranti ni haya ya kumwaga damu za watu, kuleta taharuki na kusababisha uvunjifu wa amani ya moyo kwenye nchi, Wabunge wanafikiri kwamba kanuni hizo bado ni halali?
  • Na je, amani na utulivu nchini vinaweza kubaki pale ambapo ndugu na jamaa za watu wanaotekwa na kupotezwa watakapoamua kulipiza kisasi cha kuteka na kupoteza ndugu na jamaa za viongozi wa serikali kiasi kwamba nchi inaingia katika mnyororo wa ndugu yetu akitekwa hata ndugu yao pia lazima atekwe?

Maswali ni mengi na yote yanahitaji majibu ya haraka kutoka kwa wajasiriadola.

Kwa sasa, mtazamo wangu ni kwamba, kama uvamizi wa Chadema uliotangazwa na Polisi upo kweli, kuna uwezekano kwamba, uvamizi huo unaweza kuwa "organised violence" itakayolishinda nguvu jeshi la polisi.

Vijana wa Red Brigade ya Chadema bado hawajafa wote na wanayo mafunzo kamili ya kipolisi kwa sababu wamefundishwa na wakufunzi kutoka kwenye vyombo vya ulinzi na usalama, wakiongozwa na Kachero Nguli aitwaye Mabere Marando.

Na sasa vyombo vya dola vimewapa sababu ya kujiimarisha kwa ajili ya kujilinda dhidi ya matendo hatarishi dhidi yao, maana wamechokozwa.

Chadema kama taasisi yenye corporate personal sovereignty (ukuu wa nafsi ya kitaasisi) Wanayo haki ya kikatiba kupanga na kutekeleza mpango mkakati wa kujilinda dhidi ya mashambulizi yoyote haramu dhidi ya ukuu wa nafsi yao ya utu wa kitaasisi.

Hivyo, vurugu zikitokea vyombo vya dola ndio vitakuwa vimeliingiza Taifa kwenye machafuko.

Kuzuia ni bora kuliko kuponya, lakini kuna njia bora zaidi za kuzuia.

Na huu mkakati uliotangazwa na Jeshi la polisi sio mkakato makini.


Kwa hapa niseme tu kwamba Rais wetu wa sasa hana mbele wala nyuma.

Tulifanya makosa makubwa kuruhusu watu wenye sifa hafifu kama mayaya na mashambaboi kukalia viti vya ukuu wa nchi.

Watu wa aina hii hawajui tofauti kati ya ujasiriadola na ujasiriamali.

Ni kwa sababu hii sasa Tanzania ni kama mji wa samaki jamii ya NSHONZI. Hawa ni samaki wenye ndevu kiasi kwamba huwezi kutofautisha baba, mama, wala watoto!

Kimsingi, historia inajirudia. Baada ya kustaafu ka Rais Mwinyi gazeti moja la Afrika Kusini liliandika kuwa "Tanzania imekaa miaka 10 bila Rais."

Walichomaanisha waandishi ni kwamba Rais Mwinyi alikuwa anakaa Ikulu bila kujigeuza kama kiazi kinavyokaa kimya kwenye gunia la viazi wenzake.

Tusirudie tena kosa hilo tangu sasa. Hapana!

Watu wenye hulka ya Rais Mwinyi hawawezi kutekeleza majukumu yaliyotajwa kwenye Sheria ya Baraza la Usalama wa Taifa. Haya ni majukumu yaliyowazidi kimo. Majukumu yenyewe ni kama ifuatavyo:


1725515837145.png

1725257321487.png

1725257394973.png

1725515937844.png

1725515966390.png


Tuzidi kutafakari pamoja.

Raia Mwema.
 

Attachments

Kanuni za Idara ya Usalama wa Taifa ndio zimetumika kuwakamata hawa. Zinaruhusu covert operations lakini chini ya kibali maalum.

Kabisa, na ndiyo wanatumia utekaji kujaribu kutishia umma mpana wa watanzania waingie hofu kuu isiyo na mwisho.

Lakini wakumbuke moto ulioanzia nyikani katika kilima kule Ngorongoro unaweza kufika mijini wakileta masihara kwa kutoa taarifa zisizoeleweka walipo watu waliotekwa na vikosi maalumu visivyojulikana
 
Sasa ni dhahiri Jeshi la Polisi limeamua kutumika bila hata kutumia akili

Hebu soma hii

View attachment 3082656View attachment 3082657

Jeshi la Polisi: CHADEMA imepanga kuhamasisha vijana kuvamia vituo vya Polisi
IMG-20230902-WA0019.jpg

Kufuatia Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kueleza kuwa hakuna uthibitisho unaoonesha kuwa viongozi wa Baraza la Vijana la CHADEMA (BAVICHA) wanashikiliwa na polisi na kuamuru viongozi hao kutafutwa mahali walipo, Jeshi la Polisi limesema limepata taarifa za uhakika kuhusu viongozi wa chama hicho kupanga vitendo vya kiuhalifu vitakavyohatarisha amani.

Katika taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi, imesema viongozi wa CHADEMA wamefanya kikao kwa njia ya kielekroniki (zoom) na kukubaliana waanze kuhamasisha wafuasi wa chama hicho kufanya maandamano ya kuelekea maeneo mbalimbali zikiwemo ofisi mbalimbali.

Sambamba na hilo, taarifa hiyo imesema walipanga kuhamasisha na kuunda vikundi vya vijana wapatao 20 wavamie vituo vya polisi vilivyopo jijini Dar es Salaam kwa wakati mmoja.

“Jeshi la Polisi linatoa onyo kali kwa yeyote atakaye endelea kuratibu, kuhamasisha na kushiriki katika uhalifu huo wakupangwa ambao lengo lake ni kutaka kuvuruga amani ya nchi yetu baada ya kushindwa kwa mikakati yao, atashughulikiwa ipasavyo kwa mujibu wa sheria za nchi,” imeeleza taarifa.

Aidha, taarifa hiyo imesisitiza kuwa “yeyote atakayefika kituo chochote cha Polisi kwa nia ovu, tumejiandaa na atashughulikiwa ipasavyo kwa mujibu wa sheria. “

View attachment 3082684
Tanzania Siasa za kulinda upande mmoja zimetushinda waTanzania.
Ni kwanini kila Siku CHADEMA CHADEMA?? CCM INAOGOPA NINI!
Mbona hatusikii TLP kwani bila CCM Taifa la Tanzania ndio litakuwa kimeyeyuka!
Polisi msianzishe chuki kwa Viongozi na Serikali! Nchi hii Ina watu wengi wapenda amani wanaojitafutia kama kuku! Vinginevyo Dunia itangaziwe kuwa tuna Chama moja!!
 
Yale ya Mahita na majambia ya CUF yanakuja. inawezekana kudanganya watu mara zote?
 
TAARIFA KWA UMMA

Agosti 28, 2024 Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam ilitoa maamuzi yakekuhusiana na_ shauri lililowasilishwa mbele yake ambapo miongoni mwamaamuzi iliyotoa ni pamoja na kutoa amri kwa Jeshi la Polisi kufanya upelelezikujua mahali walipo Viongozi wa Baraza la Vijana la CHADEMA (BAVICHA),Wilaya ya Temeke, (Deusdedit Soka na wenzake wawili) Jeshi la Polisi lilipokeaamri hiyo na kuongeza nguvu katika upelelezi ambao lilishaanza toka awalibaada ya kuripotiwa kupotea kwa viongozi hao.

Baada ya maamuzi hayo ya Mahakama Kuu, Jeshi la Polisi limepata taarifa zauhakika za Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)kufanya kikao kwa njia ya kielekroniki (zoom) na kukubaliana kwa vilehawajaridhika na maamuzi hayo ya mahakama kwa sababu hayakuakisimalengo yao, wafanye yafuatayo;
i) Waanze kuhamasisha wafuasi wao chinichini kufanya maandamano yakuelekea maeneo mbalimbali zikiwepo ofisi mbalimbali.
ii)Wahamasishe na kuunda vikundi vya vijana wapatao 20 wavamie vituo vyaPolisi vilivyopo Jijini Dar es Salaam kwa wakati mmoja.

Jeshi la Polisi linatoa onyo kali kwa yeyote atakaye endelea kuratibu,kuhamasisha na kushiriki katika uhalifu huo wakupangwa ambao lengo lake nikutaka kuvuruga amani ya nchi yetu baada ya kushindwa kwa mikakati yaoatashughulikiwa ipasavyo kwa mujibu wa sheria za nchi.

Jeshi la Polisi lingependa kusisitiza atakaye fika kituo chochote cha Polisi kwania ovu tumejiandaa na atashughulikiwa ipasavyo kwa mujibu wa sheria.Imetolewa na😀avid A. Misime - DCPMsemaji wa Jeshi la PolisiMakao Makuu ya PolisiDodoma, Tanzania.
View attachment 3082616
Hivi huyo misime huwa ana akili kweli?
 
Eti "jeshi la polisi linatoa onyo kwa waliohusika"

Kwanini nyie polisi mtoe onyo kwa magaidi wanaopanga kuvamia vituo vya polisi, badala ya kuwasaka na kuwakamata?

Polisi mmewaogopa magaidi sasa mmeamua kuwaacha wazidi kujipanga vizuri kwa njia nyingine ili kutimiza malengo yao ovu?

Najua mnaogopa kuwakamata muwapeleke mahakamani kwasababu mnajua mtaumbuka mbele ya safari.

Hili jeshi letu linatumika hovyo sana na CCM, linapewa mipango ya hovyo isiyoeleweka matokeo yake linazidi kujivua nguo lenyewe.

Hebu waachieni Soka na wenzake, acheni haya maigizo yenu yanatuchosha akili wenye akili zetu timamu, na lile igizo la Singida liliishia wapi?
Huko police sijui huyo kiongozi anakaa anamwambia msemaji aandike kitu kama hicho ni wa kumsikitikia sana. Anyway karma ipo as long Soka amezaliwa na mwanamke na wao wamezaliwa na wanawake tutaona maisha yao yatakavyoboreka kwa kutokuchukua hatua kufuta machozi ya wanaolia
 
Back
Top Bottom