PostGE2025 Jeshi La Polisi: Tunaimarisha Zaidi Ulinzi Na Usalama Usiku Huu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
40,476
Reaction score
26,173
Ndugu zangu Watanzania,

Jeshi letu la Polisi limesema ya Kuwa Limeimarisha na linaimarisha zaidi ulinzi na Usalama Usiku huu. Ambapo Doria kali zitapigwa usiku kucha kuhakikisha amani na utulivu vinatamalaki na hakuna uhalifu wa aina yoyote ile unaofanyika wala kutokea.

Rai yangu kwenu Watanzania ambao Mimi Mwashambwa Lucas ningependa kuwausieni ni kuwa kaeni majumbani kwenu kwa utulivu kabisa .sasa wewe jifanye kichwa maji ujitoe ufahamu na kuleta vurugu ama kufanya uhalifu ama kuchochewa ama kuchochea kufanya vurugu ama uhalifu ama kuleta machafuko uone moto utakao kuwakia. Utanyakuliwa kama mwewe anyakuavyo kifaranga kwenda kufundishwa na kushikishwa adabu. Hakuna mzaha wala huruma katika ulinzi na usalama wa Taifa letu.

Kwa gharama yoyote ile tupo tayari kuilipa kwa ajili ya usalama wa Taifa letu. Hakuna huruma wala kumuangalia mtu usoni utakaye jaribu kuhatarisha usalama na amani ya Taifa letu. Kama ni kipigo mimi nasema kipigwe tu cha nguvu na kikali haswa kwa yeyote atakaye kamatwa anafanya uhalifu ili kusudi ataje wafadhili wake.

Wewe mzazi kama unaona mwanao haeleweki na una wasiwasi naye juu ya mambo yake basi toa taarifa mapema kwa vyombo vyetu vya ulinzi ili uchunguzi ufanyike . Wewe mtanzania usimfiche mhalifu wala kuficha taarifa za uhalifu.toa ushirikiano wa kutosha . Kuwa mzalendo na penda Taifa lako.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Screenshot_20251209-213506_1.jpg
 
Ndugu zangu Watanzania,

Jeshi letu la Polisi limesema ya Kuwa Limeimarisha na linaimarisha zaidi ulinzi na Usalama Usiku huu. Ambapo Doria kali zitapigwa usiku kucha kuhakikisha amani na utulivu vinatamalaki na hakuna uhalifu wa aina yoyote ile unaofanyika wala kutokea.

Rai yangu kwenye Watanzania ambao Mimi Mwashambwa Lucas ningependa kuwausieni ni kuwa kaeni majumbani kwenu kwa utulivu kabisa .sasa wewe jifanye kichwa maji ujitoe ufahamu na kuleta vurugu ama kufanya uhalifu ama kuchochewa ama kuchochea kufanya vurugu ama uhalifu ama kuleta machafuko uone moto utakao kuwakia. Utanyakuliwa kama mwewe anyakuavyo kifaranga kwenda kufundishwa na kushikishwa adabu. Hakuna mzaha wala huruma katika ulinzi na usalama wa Taifa letu.

Kwa gharama yoyote ile tupo tayari kuilipa kwa ajili ya usalama wa Taifa letu. Hakuna huruma wala kumuangalia mtu usoni utakayejaribu kuhatarisha usalama na amani ya Taifa letu. Kama ni kipigo mimi nasema kupigwe tu cha nguvu haswa kwa yeyote atakaye kamatwa anafanya uhalifu ili kusudi ataje wafadhili wake.

Wewe mzazi kama unaona mwanao haeleweki na una wasiwasi naye juu ya mambo yake basi toa taarifa mapema kwa vyombo vyetu vya ulinzi ili uchunguzi ufanyike . Wewe mtanzania usimfiche mhalifu wala kuficha taarifa za uhalifu.toa ushirikiano wa kutosha . Kuwa mzalendo na penda Taifa lako.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3513681
Hivi ulifanikiwa kuvuta umeme au bado unarazaga simu kwa jirani
 
Ndugu zangu Watanzania,

Jeshi letu la Polisi limesema ya Kuwa Limeimarisha na linaimarisha zaidi ulinzi na Usalama Usiku huu. Ambapo Doria kali zitapigwa usiku kucha kuhakikisha amani na utulivu vinatamalaki na hakuna uhalifu wa aina yoyote ile unaofanyika wala kutokea.

Rai yangu kwenu Watanzania ambao Mimi Mwashambwa Lucas ningependa kuwausieni ni kuwa kaeni majumbani kwenu kwa utulivu kabisa .sasa wewe jifanye kichwa maji ujitoe ufahamu na kuleta vurugu ama kufanya uhalifu ama kuchochewa ama kuchochea kufanya vurugu ama uhalifu ama kuleta machafuko uone moto utakao kuwakia. Utanyakuliwa kama mwewe anyakuavyo kifaranga kwenda kufundishwa na kushikishwa adabu. Hakuna mzaha wala huruma katika ulinzi na usalama wa Taifa letu.

Kwa gharama yoyote ile tupo tayari kuilipa kwa ajili ya usalama wa Taifa letu. Hakuna huruma wala kumuangalia mtu usoni utakaye jaribu kuhatarisha usalama na amani ya Taifa letu. Kama ni kipigo mimi nasema kipigwe tu cha nguvu na kikali haswa kwa yeyote atakaye kamatwa anafanya uhalifu ili kusudi ataje wafadhili wake.

Wewe mzazi kama unaona mwanao haeleweki na una wasiwasi naye juu ya mambo yake basi toa taarifa mapema kwa vyombo vyetu vya ulinzi ili uchunguzi ufanyike . Wewe mtanzania usimfiche mhalifu wala kuficha taarifa za uhalifu.toa ushirikiano wa kutosha . Kuwa mzalendo na penda Taifa lako.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3513681

Ulisema kuko sharing sasa tunakaa home tunafanya nini?

Hujui kuna champion ligi leo?

Hakuna mtanzania anaweza kuandamana sisi wote ni vipenzi vya mama

Na sisi ni wengi kuliko hao wanaotaka maandamano

So watuache free na maduka yafunguliwe na hakuna kufunga njia

Wala no need ya kutoa report kila saa
 
Wasiishie usiku huu tu watanzania Wana majeraha mioyoni ya kuuliwa ndugu zao kwa sababu ya tamaa za madaraka.hii ngoma ni endelevu mpaka kieleweke. Mwambie aendelee kujificha hakuna mwananchi anaemuelewa kwa sasa.
 
Mwananchi kuilinda Tanzania ni jukumu lako

epuka kuichoma nchi yako
 
Back
Top Bottom