Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
halijakukutaWanauza za wajinga.
Ni kweli huwa wanaangalia mtu na mtu.Wanauza za wajinga.
[emoji1787][emoji1787]Kweli wajinga hawaishi yaani polisi aniuzie simu yangu na kwenye account Kuna million 5 aisee wanaangaliaga wa kuwafanyia hizo mbanga
basi mjinga zitto kabwe,mwakibusu na wengine ambao simu zilichukuliwa mpaka leoWanauza za wajinga.
Wale Simu zao zima mambo mengi wacha wakaenazo kwa usalama wa taifa [emoji16][emoji16] ivii wametoka au badobasi mjinga zitto kabwe,mwakibusu na wengine ambao simu zilichukuliwa mpaka leo
HIVI WEWE NDIO ULIKUWA KWENYE UTESAJI WA SATIVA MBONA KAMA NAKUONAWale Simu zao zima mambo mengi wacha wakaenazo kwa usalama wa taifa [emoji16][emoji16] ivii wametoka au bado