Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Kuna tatizo sana la jeshi la polisi kwa upande wa ukamataji kama kutakuwa na kesi ukimbilia simu au kompyuta kwa sababu wanazojua wao.
Mapolisi wengi wana hii tabia na mwisho wa siku simu yako inauzwa mtaani.
Mapolisi wengi wana hii tabia na mwisho wa siku simu yako inauzwa mtaani.