Duplicate_90
JF-Expert Member
- Mar 29, 2020
- 272
- 308
Hivi karibuni jeshi la polisi nchini Tanzania limekuwa na mazoea ya kutumia neno Gaidi na Ugaidi katika nchi yetu inayosemekana kuwa ni kisiwa cha amani!
Kwa matukio ya hivi karibuni hususani lile la mbowe la kupewa kesi ya ugaidi na hili la ndugu hamza ambalo IGP Siro amesubutu kumuita Gaidi ni dhahiri kuwa sura ya tz kimataifa kwa sasa inachukuliwa km nchi yenye ugaidi. Hii ni tishio kubwa kwa uchumi wa taifa letu! Viongozi wetu na ccm aidha kwa makusudi au kwa ufinyu wa akili wanafikiri wanawakomoa wahusika kumbe ni kulichafua taifa na kulipaka matope mbele ya mataifa! Ni wakati sasa kwa serikali na jeshi la polisi kujitafakari na kuacha propaganda za hovyo zitakazoliangamiza taifa!! Hili la denmark kufunga ubalozi wake hapa tz linaweza kuhusianishwa na masuala haya pamoja na ukandamizaji wa demokrasia nchini!!