KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Kwanza wewe ni mjinga, unayetaka kueneza ujinga kwa watu wasio wajinga, utaweza?Tafuta habari za Gazza ujifunze kitu kwenye vita vya ugaidi kupitia Israel inavyoshughulikia magaidi hapo Gazza. Wakisha muua gaidi husika wanahakikisha vitega uchumi vyote na mali nyingine alizozichuma kupitia ugaidi zikiwemo za familia yake zina sambaratishwa. Ugaidi ni biashara inayo singizia kumpigania Allah kama agenda ya kuhalalisha uovyo unaombatana na biashara hii.
Gaza, hapo hao wanaopigania uhuru wao wewe unawaita magaidi? hivi unazo akili timamu kichwani?
Halafu unataka wanayofanya Israel ndiyo tuyakubali hapa hata kama wanafanya uhalifu?
Na inawezekana watu kama wewe ndio mliojazana huko serikalini na ndani ya chama cha CCM, mkijifanya nyinyi ndio wajuaji!