Jeshi la Polisi waongoza msafara wa viongozi wakuu asubuhi hii walipowasili uwanja wa ndege wa Mwanza.

Sasa intel zinavuja mapema coz ya ujuaji mwingi mtu unachukua picha za video ndani ya gari ukiwa na Mwenyekiti huu ni uzwazwa, no top secret at all kesho CDM mnatafuta mchawi, shiiiit
 
Mpaka imechukuliwa hivyo ujue kila kitu kiko sawa acha ujuaji sana. Watu wanajua kinachofanyika.
 
Sugu apunguze usela kwenye video hapo anaaza kumkatisha mlinzi wa mbowe ,hajui jamaa Yuko LINDO
 
Sasa intel zinavuja mapema coz ya ujuaji mwingi mtu unachukua picha za video ndani ya gari ukiwa na Mwenyekiti huu ni uzwazwa, no top secret at all kesho CDM mnatafuta mchawi, shiiiit
sielewi kuna nini hapo cha kubishania, ukisoma heading na unachokiano kwenye clip ni kweli maana naona gari la polisi limewasha kimulimuli lipo mbele, no matter clip imechukuliwa nje au ndani ya gari au kwa helikopta au satelite ukweli uko wazi. mambo mengine siyo ya kubishana, unajishusha!!!
 
Sijabisha escort ya polisi ni jukumu lao la msingi na kikatiba nimegusia picha ya ndani kwenye gari mkuu uvujaji wa mambo ya ndani kwenye gari hii haipo sawa sidhani hata iwapo M/kiti aliridhia kuchukuliwa kwa video hii coz kwanza imepigwa kwa kificho fulani.
 
duuh!!!!, sikujua kama kupiga picha ukiwa ndani ya gari ni makosa, kwa kweli nawza ni wapi kosa limefanyika nakosa jibu. kwani m/kiti akiwa ndani ya gari kuna siri?!?, na kama lipo unaamini wangepiga picha?1?, umeona nini kibaya hapo kilikuwa kinafanyika hakikupaswa kwenda public!!!
 
Huwezi jua mkuu yaache kama yalivyo kila mtu na fani yake, mimi ni mpiga picha hapa kemondo Grand hall
 
Back
Top Bottom