Zanzibar 2020 Jeshi la Polisi Zanzibar laanza mazoezi ya utayari kukabiliana na maandamano na wavunjifu wa amani

police wasitishe watu,haki haitishwi,maalimu sio mjinga ,ccm wanakosa viongozi wenye maarifa wameweka maroboti
 
mwaka 2000 mwenzao alichinjwa kama kuku huko pemba, wasifikiri pemba ni Buguruni
 
Kwanini hayo mazoezi yao wasifanye kimyakimya,? hii Inaonyesha hawawezi kushindana na nguvu ya umma!
 
ipo siku
ipo siku
siku tunaisubiri.
 
Tatizo nini kwani?
Mbona linazungumzika?
Wakate zec,act watatue hili tatizo kuepusha fujo na kuepusha usumbufu wa kwenda Icc
 
Vitisho tu hivyo havifui dafu. Hiyo ndio mbinu ya mwisho nayo imessha feli.
 
Jiwe ana kiu sana na damu kumwagika , yeye na anaowatuma kina Siro wajiandae kwenda The Hague , the international community are watching everything .
 
Ndomana kuna the hague, polisi kama wanadhani hawatashtakiwa nchini basi kimataifa itawezekana.
 
Nchi yangu wapi inakwenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…