Zanzibar 2020 Jeshi la Polisi Zanzibar laanza mazoezi ya utayari kukabiliana na maandamano na wavunjifu wa amani

Hata uteuzi wake uliacha maswali kwa wenye akili kwani mmesahau?
 
Wapemba na Waunguja mjiandae nanyi. Kutakuwa na vifo vingi sana ambavyo labda hatujawahi kuviona Nchini.

Nchi za Wafadhili na Mashirika ya Kimataifa zitaweka vikwazo vya kiuchumi na kuzitenga Serikali haramu za Bara na Visiwani.

 
Majeshi ya hakiba ndio kitanzi cha amani yetu

Jr[emoji769]
 
ICC mbali tutatangulizana ahera kwanza maana kuna wajinga wajiona wana haki ya kuumiza na kuua wengine wanasahau hata wao wanawezakudedishwa mda na saa yeyote JIANDAENI MWAKA HUU HATUTANII
Wao wanajiona wapo karibu na Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapemba na Waunguja mjiandae nanyi. Kutakuwa na vifo vingi sana ambavyo labda hatujawahi kuviona Nchini.

Nchi za Wafadhili na Mashirika ya Kimataifa zitaweka vikwazo vya kiuchumi na kuzitenga Serikali haramu za Bara na Visiwani.
Dawa ya moto ni moto na anaye dhani kuwa dawa ya moto ni maji basi atakuwa ni mjinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Na wao labda wawe hawana roho hawafi
 
CCM inaangamia kwa viongozi wake kukosa maarifa!

Ya 2001 yanaweza kujirudia, na safari hii yanaweza kuwa worse, but they should know that, the world is watching.

Bara nako ni swala la muda tu maana walioenguliwa mpaka sasa hatima yao haijulikana.
Bara nyie wote ma keyboard warriors hamtaweza chochote zaidi ya kulia kwenye keyboard tu
 
Wanajidanganya kuwa hawaonekani wanavyo hamasisha vurugu

Hapo hapo wanataka mamlaka ziwaache (waogopwe)
Mwendo ni uleule tu ni Kugongwa tu kwa kila anaeleta fujo!!
 
Huyu pimbi ni wa kuwajibisha hapo October 28th, anataka Taifa letu liwe kama kule kwa babu zake na Maalim Seif alishasema kwa kurudia rudia, USITUTISHEE!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…