Mkwara Mbuzi huo, ubabe kwa keyboard tu hamna jeuri ya kuingia road maana mtagongwa tu japo mnapenda Kugongwa!!ICC mbali tutatangulizana ahera kwanza maana kuna wajinga wajiona wana haki ya kuumiza na kuua wengine wanasahau hata wao wanawezakudedishwa mda na saa yeyote JIANDAENI MWAKA HUU HATUTANII
Wajiandae kuwa wageni wa bi Fatou Bensouda pale the Hague iccMkuu hayo ni mazoezi ya vitendo ya kuiba kura za Wanzabari. CCM ilipofikia kisiasa ni aibu tupu, ijapokuwa wanatambua kwa uwazi kabisa kuwa hawakubaliki mbele ya wananchi, silaha pekee iliyobakia kwao ni kubaka tu demokrasia kupitia matendo ya kiharamia ya vyombo vya dola.
Mkuu tafuta wale askari na raia walioshiriki mauaji 2001. Ukimuona mmoja tu nitag.Jitambieni tu ujinga
Hivi polisi wamesahau wajibu wao?Hahahaha nilivyomuona kwenye ile clip anamsifia binti yake kuwa ni mzuri nikajua hapa kuna shida kwa huyu Mzee
Jeshi la PolisI Zanzibar limefanya mazoezi ya kupambana na waandamanaji.
Hiyo inakuja siku chache baada ya Maalim Seif kuapa kuwa safari hii hakuna atakayekubali kuchakachuliwa kwenye matokeo ya kura.
Naona ngoma imeanza kulindima kila sehemu.
Tanzania bila CCM inawezekana.
waache watuue katu tutapambana nao to the last drop of blood . Maji watayaita mmmaaaaaaaaaaaaaaaa. shenziOle wao wathubutu kuiba kura watajua kuwa hakuna cha polisi,, usalama wala jeshi!
Nnarudia tena, ole wao wathubutu kuiba kura!
Tutawafanya kitu hawatakaa wasahau! Mmoja baada yamwingine
Mkwara Mbuzi huo, ubabe kwa keyboard tu hamna jeuri ya kuingia road maana mtagongwa tu japo mnapenda Kugongwa!!
Mmawia, Mkuu hayo ni mazoezi ya vitendo ya kuiba kura za Wanzabari. CCM ilipofikia kisiasa ni aibu tupu, ijapokuwa wanatambua kwa uwazi kabisa kuwa hawakubaliki mbele ya wananchi, silaha pekee iliyobakia kwao ni kubaka tu demokrasia kupitia matendo ya kiharamia ya vyombo vya dola.
Safari hii vyombo vya dola watashindwa vibaya kama kutatokea vurugu mbinu zao zote za vurugu na makambi watakao fikia zinavuja mapema kabla ya tukio na vurugu nafikiri zitatokea usiku busara itumike kwa vyombo vya dola
Vizuri sana mkuu msiwachie hata nukta ya matendo yaoHakika kaka. Evidence imeshaanza kukusanywa kuanzia na kauli za kibabe za Siro
Sawa kaka mtaamimi na kuonaMkwara Mbuzi huo, ubabe kwa keyboard tu hamna jeuri ya kuingia road maana mtagongwa tu japo mnapenda Kugongwa!!
Sasa basi ni jino kwa jino tumekuwa waungwana kipindi chote ila tunambulia dharau Kejeli vipigo na watu wetu kuuawa hatua cha kupoteza tena uvumilivu una kokomo peoplesss............
Safi kabisa kwao Polisi...washenzi wenye nia ya kujaribu mamlaka (dola) wakawadhibiti
Kwa pamoja tunang'oa mbuyuSasa basi ni jino kwa jino tumekuwa waungwana kipindi chote ila tunambulia dharau Kejeli vipigo na watu wetu kuuawa hatua cha kupoteza tena uvumilivu una kokomo peoplesss............