Zanzibar 2020 Jeshi la Polisi Zanzibar limelazimika kutumia mabomu ya machozi katika baadhi ya maeneo kutokana na viashiria vya uvunjifu wa amani

Unguja. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi kisiwani Zanzibar limesema limelazimika kutumia mabomu ya machozi katika baadhi ya maeneo kutokana na uwepo wa viashiria vya uvunjifu wa amani.

Limesema waliokamatwa ni waliochoma matairi na kuyaweka katikati ya barabara na waliokwenda katika vituo vya kupigia kura wakati leo wanaoruhusiwa kupiga kura ni makundi maalum wakiwemo askari wa vikosi vya ulinzi na usalama pamoja na kuyashambulia kwa mawe magari ya polisi.

Hayo yameelezwa leo Jumanne Oktoba 27, 2020 na Kamanda Polisi wa Mkoa huo, Awadh Juma Haji wakati akizungumza na Mwananchi Digital.

Amesema mbali ya matumizi ya mabomu hayo, wanawashikilia baadhi ya vijana waliodai kuhusika katika matukio hayo.

Amebainisha kuwa vijana hao wanatuhumiwa kuchoma moto matairi ya magari na kuyaweka katikati ya barabara na maeneo mbalimbali kinyume na sheria, kuyashambulia kwa mawe magari ya askari polisi waliokuwa katika doria huku wakijua kuwa kazi ya polisi ni kusimamia amani na utulivu.
Binafsi kura nitapiga pakiwapo tume huru ya uchaguzi
 
Intelijensia uchwara ni kdhibiti raia wema tu.Mtwara kunawaita.
 
Jeshi haliwezi kushindana na wananchi wake likawashinda...kinachotakiwa hapo ni busara tu.
Ipi? Kama wao wamekusudia kufanya hivyo?
Unachtsamkeit shurubu za simba inategemea yeye akuache tu?
 
Back
Top Bottom