Jeshi la Urusi kuwapokea Wanafunzi Watanzania waliopo Ukraine, wapewa maelekezo maalum ili warudishwe Tanzania

US ingekaa kileleni muda mrefu sana sema tu walipoanza kubrand na kuuhubiri ubepari wao kama mungu duniani na kulazimisha tuabudu ubepari na demokrasia ndio ikawa mwanzo wa anguko lao. Wa kuabudiwa ni Mungu tu.
 
Umechanganya kwa East Africa Uganda,, Tanzania,,Burundi,,South Sudan hawakupiga kura ya Ndio Wala hapana walibaki katikati
 
Umechanganya kwa East Africa Uganda,, Tanzania,,Burundi,,South Sudan hawakupiga kura ya Ndio Wala hapana walibaki katikati
 
tungepiga kura dhidi yao juzi, watoto wetu wangezikwa hai. though wamagaribi watakuwa wamenuna mno na sijui misaada waliyomwahidi maza kama watatoa baada ya kuona msimamo wetu ule.
 
Watanzania wengi wa mtaani hawana mchango wowote kwa USA, wengi wao wanatumia dawa za Ukimiwi zilizofadhiliwa na USA kupitia PEPFAR
 
Busara na hekma ya kutoegemea upande wowote zimeanza kulipa.
vijana wetu wanarudi salama n
Washauri wa Putin,imekuwa rahisi kumshawishi,ameanza kulegeza msimamo kidogo.
 
Uganda ilifanya kama Tanzania
 
Wanafunzi wapite wakiwa wamebeba bendera za Tanzania

Sijui ubalozi utakwenda kugawa bendera za Tanzania au wanajisemesha tu ?
 
WATANZANIA WANAFUNZI WALIOPO NCHINE UKRAINE WAMUOMBA RAIS MAMA SAMIA SULUHU AWASAIDIE KUTOKA UKRAINE.



Your browser is not able to display this video.

Download
720
 
Mtu Mweusi anavyo pigwa na Watu wa Ukraine .

Your browser is not able to display this video.

Download
720
 
Wameshablokiwa pia Hakuna kutoka
 
BREAKING: WANAFUNZI 11 WATANZANIA WAOKOLEWA UKRAINE, WAFANIKIWA KUINGIA URUSI, WAKUTANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI URUSI.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…