Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ) kutoa Tamko Maalumu 30 Novemba, 2021

View attachment 2027376Ni mara chache Jeshi letu la Wananchi kuja na tamko zito kama hili kunani? Je ni kuhusu ugaidi unawosemwa katika mitandao ya kijamii? ama tuvute subira hadi hiyo kesho saa nne (4) asubuhi kujua ni habari hiyo ya kustua.
Imekushtua nn wewe raia ? Acha kukurupuka sio mara ya kwanza jeshi kuita vyombo vya habari na kutoa tamko au maelekezo

USSR
 
Watu huko mitandaoni wanatamani kuskia kitu kitakacho wafurahisha mioyo yao juu ya chuki walizonazo dhidi ya serikali na Mama kwa ujumla..

Naomba niwathibitishie tu kuwa huo upumbavu wanaofikiria kuhusu Tamko hili LA jeshi letu Imara kamwe hautokaa utokee ktk serikali hii Sikivu na yenye hofu ya Mungu.

Mama ni Mpango na Chaguo LA Mungu bado yupoyupo sanaaa..
 
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetoa taarifa kwa vyombo vya habari kuwa kesho Novemba 30, 2021 litafanya mkutano na waandishi wa habari kutoa tamko maalum.

Mkutano huo utafanyika katika ukumbi wa mikutano ilipokuwa makao makuu ya jeshi, Upanga jijini Dar es Salaam saa nne asubuhi.

Vyombo vyote vya habari vinaalikwa.
 
He!!! Mhemko wa nn?? Hata bwana yule mlisema ni chagua LA mungu kisha mkamuita mungu!!!wanafiki wakubwa nyie
 
na ndo amiri jeshi mkuu wa majeshi yote ya TZ, anapigiwa salute na wakuu wote wa majeshi TZ na ndo mkuu wao, hata hilo tamko hawawezi toa bila ruhusa ya mama.
 
Usitusemee semea moyo wako na njaa zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…