Jeshi la Wananchi wa Tanzania linatazamaje Manda Bay yenye US military base?

Jeshi la Wananchi wa Tanzania linatazamaje Manda Bay yenye US military base?

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Iwapo tukakorofishana na Mmarekani leo hii, japo sio kipaumbele chetu, Je! JWTZ ina mkakati wowote juu ya hii military base ya MANDA BAY iliyopo LAMU?

Vita ya UKRAINE Lazima itufukirishe.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
 
Iwapo tukakorofishana na Mmarekani leo hii ,japo sio kipaumbele chetu je JWTZ ina mkakati wowote juu ya hii military base ya MANDA BAY iliyopo LAMU?
Vita ya UKRAINE Lazima itufukirishe.


KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Tuache pambana na mbu .. inzi.. mebde na kipindu pindu. Tuache tafuta mlo m1 kwa siku..Tuanze ugomv na marekan?
 
Do we have a scientific and concrete document inayohoji na kuelezea uwepo wa base hii karibu kabisa na mipaka yetu?
 
Hamna ubavu wowote ule
Yaani watz huwa bado wana mawazo bado ya zile siasa za zamani, za kujipima za vita baridi kati ya Communist countries Vs Western countries ( so called mabeberu)... badala ya kukaa kimya na kuepusha kuanza kuwa na mawazo yenye chokochoko za kujitafutia matatizo huko mbeleni.... yaani bado tuna changamoto hadi za matundu ya vyoo mashuleni,ila bado mnataka kuanza fikiria kutaka kupimana ubavu na 'mabeberu'... kaazi kwelikweli.....
 
Mkuu unataka Siri za jeshi ziwe wazi,yaani kila mipango ya jeshi itangazwe?
 
Yaani watz huwa bado wana mawazo yazile siasa za zamani, za kujipima za vita baridi kati ya Communist countries Vs Western countries ( so called mabeberu)... badala ya kukaa kimya kuepusha kuanza mawazo yenye chokochoko kujitafutia matatizo huko mbeleni.... yaani changamoto bado mna changamoto za matundu ya vyoo mnataka kuanza fikiria kutaka kupimana ubavu na 'mabeberu'... kaazi kwelikweli.....
Kwa uelewa wako unadhani siasa hizo zimeshaisha?
 
Iwapo tukakorofishana na Mmarekani leo hii ,japo sio kipaumbele chetu je JWTZ ina mkakati wowote juu ya hii military base ya MANDA BAY iliyopo LAMU?
Vita ya UKRAINE Lazima itufukirishe.


KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Hivi hilo jina ulipewa na wazazi wako au ulijitambua mwenyewe kuwa ni mjinga?
 
Back
Top Bottom