Jeshi la Wananchi wa Tanzania linatazamaje Manda Bay yenye US military base?

Jeshi la Wananchi wa Tanzania linatazamaje Manda Bay yenye US military base?

Iwapo tukakorofishana na Mmarekani leo hii ,japo sio kipaumbele chetu je JWTZ ina mkakati wowote juu ya hii military base ya MANDA BAY iliyopo LAMU?
Vita ya UKRAINE Lazima itufukirishe.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Sisi tunategemea vichaka kwa ajili ya kujificha
 
Marekani hawezi korofishana na Tanzania kwa East Africa sisi ndio gateway kwa nchi zote za maziwa makuu.

Kiufupi tuna ushawishi na siasa za nchi nyingi zilizotuzunguka.

Kenya anajitutumua tu ila sisi ndio wenyewe.
 
Ushawishi huo unatuweka kwenye risk zipi?
 
Iwapo tukakorofishana na Mmarekani leo hii ,japo sio kipaumbele chetu je JWTZ ina mkakati wowote juu ya hii military base ya MANDA BAY iliyopo LAMU?
Vita ya UKRAINE Lazima itufukirishe.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Kwa kiasi kikubwa, hicho ndicho kilikuwa kigezo cha kuleta muungano wa Tanganyika na Zanzibar enzi hizoo
 
Kwa kiasi kikubwa, hicho ndicho kilikuwa kigezo cha kuleta muungano wa Tanganyika na Zanzibar enzi hizoo
Kwa muktadha huu bado tunahitaji jambo la ziada zaidi ya muungano !

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
 
Kwa muktadha huu bado tunahitaji jambo la ziada zaidi ya muungano !

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Hata ukiuangalia huo muungano, ndiyo maana unawapa shida wengi. Basic idea ilikuwa tu kutokuweza kuweka base pale, full stop.
 
Walikubaliana mambo ya ulinzi na usalama na machache ya kuzugia tu mengine hadi sasa Zanzibar wana yao bara wana yao.
 
Iwapo tukakorofishana na Mmarekani leo hii ,japo sio kipaumbele chetu je JWTZ ina mkakati wowote juu ya hii military base ya MANDA BAY iliyopo LAMU?
Vita ya UKRAINE Lazima itufukirishe.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Saizi yenu ni Mbowe sio Wamarekani
 
Lazima itufukirishe

Kuna manuwari zenye uwezo mkubwa kuliko kambi hiyo ndogo, manuwari hizo zinaitwa mji mdogo yaani askari 5,000 na ndani yake kuna zana nzito za kuanzisha vita popote duniani huku ndege zinaweza kutua na kupaa toka ktk manuwari hizo.

I Spend two days on the USS Nimitz Aircraft Carrier, getting a grand tour of the giant ship, seeing behind the scenes on its operation, and getting to see deck launches and landings. It was one of the most awesome experiences I've ever had. Source: Kermit weeks channel : USS Nimitz - VIP tour & flight deck action

Bado kuna kambi kubwa ya kijeshi ya Marekani ambayo ipo eneo la Africa Mashariki kisiwani Diego Garcia.

As of August 2018, Diego Garcia is the only inhabited island of the BIOT; the population is composed of military personnel and supporting contractors.

Camp Justice Naval Base in Diego Garcia | MilitaryBases.com

Camp Justice is a United States Navy support facility located in the central Indian Ocean 1,909 miles off the eastern coast of Tanzania and 1,357 miles
 
Iwapo tukakorofishana na Mmarekani leo hii ,japo sio kipaumbele chetu je JWTZ ina mkakati wowote juu ya hii military base ya MANDA BAY iliyopo LAMU?
Vita ya UKRAINE Lazima itufukirishe.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Utapasuka msamba. Jeshi letu ni la kulinda Jamhuri yetu.
 
Iwapo tukakorofishana na Mmarekani leo hii ,japo sio kipaumbele chetu je JWTZ ina mkakati wowote juu ya hii military base ya MANDA BAY iliyopo LAMU?
Vita ya UKRAINE Lazima itufukirishe.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
US wakikutaka wewe Wala hawahitaji kutumia Military base yao iliyoko Somalia ama Kenya, watakufikia Moja Kwa Moja kutoka Washington DC
 
Acha kupayuka. Marekani anao saizi yake. Bado tunapigana na umaskini mkali (<USD2 per day). Tu-focus hapo.
Iwapo tukakorofishana na Mmarekani leo hii ,japo sio kipaumbele chetu je JWTZ ina mkakati wowote juu ya hii military base ya MANDA BAY iliyopo LAMU?
Vita ya UKRAINE Lazima itufukirishe.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
 
Iwapo tukakorofishana na Mmarekani leo hii ,japo sio kipaumbele chetu je JWTZ ina mkakati wowote juu ya hii military base ya MANDA BAY iliyopo LAMU?
Vita ya UKRAINE Lazima itufukirishe.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
LOooo, mkuu, mbona unanishangaza sana leo!

Wewe leo ndio umestuka na MANDA BAY? Mombasa hapo wapo, lakini hujataja kule Laikipia, hujui habari hiyo? Hao jamaa zetu wanasema "waguse unuke".

Hiyo inaitwa ni nchi yenye "Strategic interests" kwa wakubwa. Hivi huwa huoni wao ni pekee katika bara hili kila panapobadilishwa kiongozi mkuu kule kwa wakubwa wao ndio huwa wa kwanza kutembelea makao ya mchaguliwa mpya? Hivi unadhani haya mambo ni ya kubahatisha?

Kura zao kule UNO huwa huzifuatilii kujuwa maslahi yao yalipo?

Kuna mengi ya kukueleza, lakini kutokana na kukujua humu JF kwa muda mrefu, nilidhani unao upeo wa kutosha kuhusu mambo haya!
 
Tuna mbinu zetu kali za mapambano, pamoja na uchawi na usafiiri wa ungo. Hawatuwezi.
 
Iwapo tukakorofishana na Mmarekani leo hii ,japo sio kipaumbele chetu je JWTZ ina mkakati wowote juu ya hii military base ya MANDA BAY iliyopo LAMU?
Vita ya UKRAINE Lazima itufukirishe.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Yaani mawazo yako na jina lako viko sawa kabisa
 
Iwapo tukakorofishana na Mmarekani leo hii ,japo sio kipaumbele chetu je JWTZ ina mkakati wowote juu ya hii military base ya MANDA BAY iliyopo LAMU?
Vita ya UKRAINE Lazima itufukirishe.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Yaani jwtz iwaze kupambana na USA?acha utani wewe!!sie tuwaze tunaweza kupambana na Misri?Ethiopia?sudan,?siku vita kuhusu maji ya Victoria na mto Nile ikizuka!
 
Back
Top Bottom