Jeshi la wenzetu, full upendo kwa Wananchi wanaowalinda!

Kijakazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
7,093
Reaction score
10,469
Wananchi wa Gabon wakiwakumbtia na kuwafurahia Wanajeshi, unafikiri raia wanaweza wafurahia wanaojiita Wanajeshi hapa kwetu hivyo? Hata kama tutajaribu kutetea lkn deep down nafsi zinatusuta kwamba hilo haliwezekani, upendo wa hivyo kwa wananchi wa Tanzania haupo na wana sababu kwa nini ni hivyo, ngumu sana …

1693417443996.jpeg
 
View attachment 2733924
Bongo je?
 
Bongo ukienda sehemu za starehe zinazoendeshwa na jeshi...dah yaani ni mpelampela service kibabe [emoji1]

Ova
 
Hapa tz tunawanyampara!
TPDF wanajiona wameyamaliza maisha.

Yale mavazi Yao wanayaona keki.
 
Wananchi wa Gabon wakiwakumbtia na kuwafurahia Wanajeshi, unafikiri raia wanaweza wafurahia wanaojiita Wanajeshi hapa kwetu hivyo? Hata kama tutajaribu kutetea lkn deep down nafsi zinatusuta kwamba hilo haliwezekani, upendo wa hivyo kwa wananchi wa Tanzania haupo na wana sababu kwa nini ni hivyo, ngumu sana …

View attachment 2733924
Huku wanakusanya sare za jeshi kwa raia na kutafuta publicity za kishenzi... wabongo ni watu wa hovyo sana!
 
Majeshi yetu yana sura mbaya kwa wananchi, mfano jeshi la polisi huduma zao kwa mteja (mwananchi) ni za kikatili na vitisho sio rafiki kabisa.
 
Ila ni hao hao waliulinda utawala wa Bongo family Kwa miaka mingi... sidhani walikua na upendo huo Kwa miongo yote hiyo
 
Back
Top Bottom