Nimekupa likes umeiona?Ni hio picha moja tuh ndio imefanya uone huo upendo wao?
Jwtz yetu toka lini ikawachukia raia wa tz.
Au ikifanya mapinduzi ndio kipimo cha upendo kwako?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Usiombe kukutana na waliomaliza depo hawa ndiyo balaa!!! Muda wote wanarusha ngumi za hewani huku wanatembea
Bongo je?Wananchi wa Gabon wakiwakumbtia na kuwafurahia Wanajeshi, unafikiri raia wanaweza wafurahia wanaojiita Wanajeshi hapa kwetu hivyo? Hata kama tutajaribu kutetea lkn deep down nafsi zinatusuta kwamba hilo haliwezekani, upendo wa hivyo kwa wananchi wa Tanzania haupo na wana sababu kwa nini ni hivyo, ngumu sana …
View attachment 2733924
Wanaofisi Lumumba.Bongo je?
Nimekupa likes umeiona?
Huku wanakusanya sare za jeshi kwa raia na kutafuta publicity za kishenzi... wabongo ni watu wa hovyo sana!Wananchi wa Gabon wakiwakumbtia na kuwafurahia Wanajeshi, unafikiri raia wanaweza wafurahia wanaojiita Wanajeshi hapa kwetu hivyo? Hata kama tutajaribu kutetea lkn deep down nafsi zinatusuta kwamba hilo haliwezekani, upendo wa hivyo kwa wananchi wa Tanzania haupo na wana sababu kwa nini ni hivyo, ngumu sana …
View attachment 2733924
Shida wabongoMajeshi yetu yana sura mbaya kwa wananchi, mfano jeshi la polisi huduma zao kwa mteja (mwananchi) ni za kikatili na vitisho sio rafiki kabisa.