Jeshi letu lijifunze kutokana na vita ya Ukraine na sasa huko Israel/Hamas

Si walisema Tanzania inanjeshi bora na imara sasa unataka wajifunze nini tena wakati wako imara, mfano angalia wanavyojua kuvunja tofali na kufanya maonyesho kwenye sikukuu za kitaifa
 
Labda kama kuna vijana wengine wapo ndichi huko makambini.
Ila kwa hawa wa huku mtaani hawana lolote, kutwa tuna kunywa nao mipombe na kugombea malaya kwenye nyumba za starehe.
Njoo Goba/Madale nikuonyeshe Maofisa walivyofuga mitumbo kwa bia na nyama choma za kila weekend pale mnada wa mbuzi six.
 
Sheria za Tanzania, raia akibuni silaha anakabiliwa na miaka 30 jela.

Unadhani tutafika huko kwa pesa za hizi misaada?
 
"Hivi vikoplo usivione hivi, vikisikia vita vinajinyea bila kutaka" alisikika Afisa Mteule wa Jeshi akiwaambia waliokuwa wakitazama ubabe wa Coplo mmoja aliyekuwa anatishia kumgonga kwa Nissan afande wa barabarani mitaa ya Mlimani City
Hahahaha
 
Ubora wa kupasua matofali?
 
Ukweli nikuwa, Vifaa vingi vya kisasa kuanzia kurusha mabomu nk vinahitaji watu wenye Elimu ya Physics; na maanisha ukiwa nao hao, uwezekano wa kulenga target ni 85-95% wakati hawa wengine pengine uwezekano wa kulenga target ni chini ya nusu; Vijana wapo mtaani wengi tu hawana ajira hivyo tuna nafasi ya kuendelea kuimarisha jeshi polepole......
 
Huo ni msimamo hasi, itabidi tubadilike.
Tuanze kubadili mindset.

Hii nchi siyo ya viongozi bali ya raia. Tukiweza kuwaelimisha vijana wetu majeshini kuhusu hilo tutakuwa na wepesi kupiga hatua gatuzi za maendelek
 
Si walisema Tanzania inanjeshi bora na imara sasa unataka wajifunze nini tena wakati wako imara, mfano angalia wanavyojua kuvunja tofali na kufanya maonyesho kwenye sikukuu za kitaifa
Hizo ni jaramba za ku keep fit.
Peleka mwimba taarab front halafu tupe mrejesho.
 
YANI VITA YA MWAKA 70' HUKO ALIYESHINDA TANGANYIKA INATUMIKA REFERENCE YA UIMARA WA JESHI 21st CENTURY????

YOU GAT TO BE KIDDING ME MEN
Nyie kule kijiji cha Katerero si "magari" yenu yalitekwa na askari wa Amin.waliolewa, na kubebwa na Landirova.
Vize ambavyo vilishindwa kukimbia vilibakwa, au umesahau?
 
Katika upande wa intelijensia bongo ndio 0 kabisa, usitaku upate ushahidi zaidi yakuchunguza wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…