Jeshi letu lijifunze kutokana na vita ya Ukraine na sasa huko Israel/Hamas

Dah!

Mkuu ina maana tuna hali mbaya?

Kwanini tusitumie watafiti wetu waliopo hapahapa nchini?

Mimi mwenyewe kwenye kutengeneza drone naweza sana, tena full automated.

Mwaka kesho nitarusha moja, wakinihitaji niko tayari kufanya kazi nao.
Samia aione hii ni dhahabu ktk nchi , watu km nyiny mnapaswa kutunzwa vzr ila ubinafs wetu tu , ningekuwa rais ungekuwa na mji wako na theatre yako kbs
 
Namba 6 Duniani au Africa masharik?

USA
GERMAN
FRANCE
UK
RUSSIA
CHINA
INDIA
IRAN
NORTH KOREA
UKRAINE
SAUDI ARABIA
TURKEY
africa mashariki? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wa sita ?
 
Kwanini Israel miaka yote anasaidiwa na America, Uk; France na silaha kubwa zote wanazo. Lkn juzi wametekwa kama anakamatwa kuku ktk kibanda chake? Tujifunze kwamba Allah ni mkubwa sana
nendene nkawateke sasa
 
Kati ya taasisi nyeti ninazoziheshimu na kuzienzi ni jeshi letu la JWTZ, limeonyesha ukomavu wake kwa miaka mingi sana hasa wakati wa vita ya ukombozi.

Ilipoingia 1978, November/December hadi 1979, jeshi lilipitia "baptism of fire" wakati wa Vita ya Kagera.

Kimsingi baada ya vita ile ikadhihirika kuwa Defence Policy iko safi na inafanya kazi katika mazingira ya wakati ule.

Najua leo jeshi liko complex kuliko wakati huo na lina vyuo vyake ambavyo ni Think Tanks, kama National Defence College pale Kunduchi.

Sasa leo kuna vita hivi vya Ukraine na vile vile Israel na Hamas. Mbinu zilizojitokeza na kuwa very effective katika kushambulia adui, ni matumzi ya Drones na Missiles.

Huko Ukraine drones zimekuwa a weapon of choice katika ku target sehemu za adui kwa pande zote.

Hamas juzi kwa vifaa ambavyo waweza kufikiri ni vya mchezo mchezo tu, katumia drones ambazo zimechakaza vibaya miuondombinu ya kijeshi ya Israel iliyokuwa mstari wa mbele.

Kwamba wameuawa wanajeshi zaidi ya 300 wa Israel katika mashambulio, hilo na jambo kubwa sana.

Maoni yangu ni; Jeshi letu vile vile litazame upya Defence Policy yake ili matumizi ya vifaa hivi viweze kujumuishwa katika ulinzi wa nchi yetu.

Nawaza tu!
Kongole kwako mkuu

Ikitokea Tanzania ikaingia vitani sasa hivi itackazwa mapema sana. Tazama adui anachimba mahandaki (underground tunnel) Zanzibar kupitia baharini na kuibukia kwenye ardhi yao ya Bagamoyo kisha wanarusha makombora magogoni, Tanga, Morogoro na Dodoma. Rwanda (M23 rebels)View attachment 2788161
, Burundi na DRC wanachimba mahandaki yao chini ya ziwa Tanganyika na kuibukia kwenye ardhi yao ya Buhigwe, Katavi na Ngara.
Zambia na Malawi wanachimba mahandaki yao wanaibukia ardhi yao ya Tunduma, Ileje, Kyela , Njombe na Mbamba bay huko Nyasa ni balaa tupu
Msumbiji jimbo la Cabo Delgado magaidi ya Al Shabab wanachimba mahandaki yao kuvuka mto Ruvuma kulenga ukanda wa gesi utawazuia na kitu gani?
View attachment 2788157

View attachment 2788158
Waasi wa uganda ADF na balaa lao usiombe vita
View attachment 2788162
Nchi pekee itakayo acha kuishambulia Tanzaia ni tatu tu yaani Zambia, DRC Congo na Kenya pekee nimemaliza
Una utoto sn
 
Nijuavyo Silaha sio ushindi katika vita...
Bali Ni mbinu madhubuti Descpline ya askari.
Maana ukikosa hivyo hata uwe na makombora yapi hushindi vita
Ndio maana tunsongelea Nationsl Defence policy mkuu.
Silaha ni vyuma tu ambavyo huendeshwa na binadamu.
Hskuna vita silaha peke yake jeshi linshinda., wananchi lazima waliunge mkono.
 
Kati ya taasisi nyeti ninazoziheshimu na kuzienzi ni jeshi letu la JWTZ, limeonyesha ukomavu wake kwa miaka mingi sana hasa wakati wa vita ya ukombozi.

Ilipoingia 1978, November/December hadi 1979, jeshi lilipitia "baptism of fire" wakati wa Vita ya Kagera.

Kimsingi baada ya vita ile ikadhihirika kuwa Defence Policy iko safi na inafanya kazi katika mazingira ya wakati ule.

Najua leo jeshi liko complex kuliko wakati huo na lina vyuo vyake ambavyo ni Think Tanks, kama National Defence College pale Kunduchi.

Sasa leo kuna vita hivi vya Ukraine na vile vile Israel na Hamas. Mbinu zilizojitokeza na kuwa very effective katika kushambulia adui, ni matumzi ya Drones na Missiles.

Huko Ukraine drones zimekuwa a weapon of choice katika ku target sehemu za adui kwa pande zote.

Hamas juzi kwa vifaa ambavyo waweza kufikiri ni vya mchezo mchezo tu, katumia drones ambazo zimechakaza vibaya miuondombinu ya kijeshi ya Israel iliyokuwa mstari wa mbele.

Kwamba wameuawa wanajeshi zaidi ya 300 wa Israel katika mashambulio, hilo na jambo kubwa sana.

Maoni yangu ni; Jeshi letu vile vile litazame upya Defence Policy yake ili matumizi ya vifaa hivi viweze kujumuishwa katika ulinzi wa nchi yetu.

Nawaza tu!
Ha ha ha ha
Eti imeua wanajeshi 300 wa Israel.

Kama ameweza kuua wote hawa si vita ishaisha.
😂😂😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Kwanini Israel miaka yote anasaidiwa na America, Uk; France na silaha kubwa zote wanazo. Lkn juzi wametekwa kama anakamatwa kuku ktk kibanda chake? Tujifunze kwamba Allah ni mkubwa sana
Kumbe Allah aliwatuma wakavamie waisrael na kuwaua raia ovyo.
Mbona Allah hajawasaidia sasa hivi wanavyouliwa na nyumba zao kubomolewa na wengine kukimbilia Misri?
Kumbe Allah ni gaidi kwa mujibu wa comment yako na anashirikiana magaidi wa palestina
 
Haya ni mawazo yako mkuu!
Siyakatai!

Ni mawazo mengi niliyokutana nayo,sishangai.

Wengine wakitoa product wanapewa pongezi na hawahawa watanzania,ila mtanzania mwenzao akitoa kitu comments huwa zinavunja moyo.
We unadhani lile gari jekundu la yule bwana liliishia wapi? Lakutumia umeme!

Namaanisha Mzee Kipanya... Yaani...
 
sikufatilia mkuu!

ndiyo maana nasema wewe endelea na hayo mawazo yako,si mabaya,ila mimi nitafanya kazi zangu.

nImeahidi 2024 kutoa toleo la pili.
Tunaomba tuone toleo la kwanza hapa basi Mzee!bau umetengeneza tiara ukadhani ndio drones za mashambulizi?
 
Back
Top Bottom