Jeshi letu limetutenga Watanzania

Jeshi letu limetutenga Watanzania

Jeshi letu limetutenga Watanzania.

Napata mashaka kuamini kama hili ni jeshi la wananchi wa Tanzania ama laah.

Sitaki kuamini kwamba katika jeshi zima hakuna hata mmoja mwenye akili na kuumizwa.
Kivipi? Hebu funguka, tujuze ni nini kilichojiri hadi unasema jeshi limetutenga Watanzania.
 
Mtoa mada anataka askani mmoja au kikundi ajitokeze kitie neno Kuhusu pengine uelekeo mbaya kwa serikali😂,
KIJESHI HUO NI MGOMO
Dah! ama' kweli. Hajui kwamba hao jamaa wamekula kiapo cha UTII kwa Serikali na Amiri jeshi mkuu? :KEKBye:
 
Jeshi letu limetutenga Watanzania.

Napata mashaka kuamini kama hili ni jeshi la wananchi wa Tanzania ama laah.

Sitaki kuamini kwamba katika jeshi zima hakuna hata mmoja mwenye akili na kuumizwa.
Hawa viongozi wa ccm hawana akili nzuri sana
Haitaisha miaka kumi kwa huu mwendo wanaotupeleka kabla hayajatokea mambo ya kuwaacha hoi kabisa
Tuombe Mungu uzima tu
Mambo wanayofanya hawa watu yanaumiza sana na nauhakika kwamba kuna watu wenye uwezo wa kukata nyaya wanapitia maumivu pia juu ya matendo yanayoendelea nchi hii
Mtu huyo atatoka upande wao wala wasijione wako salama sana
 
Hao mambulula wenye MADIVISHENI FOO huwa wanasubiri orders. They don't have a mind of their own.

Na huko jeshini huwa wanakuwa programmed kuwa misukule. Ni kati ya taasisi ambazo ni HEAVILY BRAINWASHED.

Ukiona wanajeshi wanahusika kupindua serikali ujue wahusika ni kundi dogo sana la ELITES na wajuzi haswa ambalo halizidi watu hamsini. Hawa manyumbu wenye magwanda ya mabaka mabaka ndio wanafuata nyuma kwa matambo ya pushups lakini hawana walijualo.

Only a small group of elites can overthrow a government. Watu ishirini tu ambao ni very smart.

Haya MADIVISHENI FOO ni kufuata nyuma tu kwa amri za WAKUU ambao ni the smartest.

Cc: @ Poor Brain min -meNAMBA MOJA AJAYE NCHINI Rabbon Lucas Mwashambwa ChoiceVariable chiembe Sexless Stuxnet Pascal Mayalla Kiranga Nyani Ngabu Tindo GENTAMYCINE
 
Jeshi letu limetutenga Watanzania.

Napata mashaka kuamini kama hili ni jeshi la wananchi wa Tanzania ama laah.

Sitaki kuamini kwamba katika jeshi zima hakuna hata mmoja mwenye akili na kuumizwa.
Kwanini hukuleta hii maneno maneno kabla ya haya yanayoendelea Kenya?! Akili ya kipanzi ya kuigaiga mambo. Pumbavu.
 
Hao mambulula wenye MADIVISHENI FOO huwa wanasubiri orders. They don't have a mind of their own.

Na huko jeshini huwa wanakuwa programmed kuwa misukule. Ni kati ya taasisi ambazo ni HEAVILY BRAINWASHED.

Ukiona wanajeshi wanahusika kupindua serikali ujue wahusika ni kundi dogo sana la ELITES na wajuzi haswa ambalo halizidi watu hamsini. Hawa manyumbu wenye magwanda ya mabaka mabaka ndio wanafuata nyuma kwa matambo ya pushups lakini hawana walijualo.

Only a small group of small elites can overthrow a government. Watu ishirini tu ambao ni very smart.

Haya MADIVISHENI FOO ni kufuata nyuma tu kwa amri za WAKUU ambao ni the smartest.

Cc: @ Dr. mambo jambo Poor Brain min -me Dokta mambo jambo NAMBA MOJA AJAYE NCHINI Rabbon
Wizooo taratibuu mambo yakoo, wee huogopiiii?
Hakuna usalama humu ndaniii, unajua kamba ya urefu.wa kujipimia ni tamuu? Ooooh usiseme hujaambiwa.
 
Wizooo taratibuu mambo yakoo, wee huogopiiii?
Hakuna usalama humu ndaniii, unajua kamba ya urefu.wa kujipimia ni tamuu? Ooooh usiseme hujaambiwa.
Haki ya kutoa maoni chini ya Katiba ya Tanganyika 😁
 
Back
Top Bottom