Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,573
- 10,063
๐๐๐ Acha mtoa mada ajichanganye wamfue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐ Acha mtoa mada ajichanganye wamfue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe kuna wanawake mnaakil hv? Ww mbususu yako lazma iwe tamu pia.Hao mambulula wenye MADIVISHENI FOO huwa wanasubiri orders. They don't have a mind of their own.
Na huko jeshini huwa wanakuwa programmed kuwa misukule. Ni kati ya taasisi ambazo ni HEAVILY BRAINWASHED.
Ukiona wanajeshi wanahusika kupindua serikali ujue wahusika ni kundi dogo sana la ELITES na wajuzi haswa ambalo halizidi watu hamsini. Hawa manyumbu wenye magwanda ya mabaka mabaka ndio wanafuata nyuma kwa matambo ya pushups lakini hawana walijualo.
Only a small group of elites can overthrow a government. Watu ishirini tu ambao ni very smart.
Haya MADIVISHENI FOO ni kufuata nyuma tu kwa amri za WAKUU ambao ni the smartest.
Cc: @ Poor Brain min -meNAMBA MOJA AJAYE NCHINI Rabbon Lucas Mwashambwa ChoiceVariable chiembe Sexless Stuxnet Pascal Mayalla Kiranga Nyani Ngabu Tindo GENTAMYCINE
eeeh?? ๐๐ kumbe mimi ni demu jamani nilikuwa nimesahau jaman ๐๐Kumbe kuna wanawake mnaakil hv? Ww mbususu yako lazma iwe tamu pia.
Ngoja nikutafutie mawasiliano ya IBRAHIM TRAORE labda atakupa majibu ya swali lako.Jeshi letu limetutenga Watanzania.
Napata mashaka kuamini kama hili ni jeshi la wananchi wa Tanzania ama laah.
Sitaki kuamini kwamba katika jeshi zima hakuna hata mmoja mwenye akili na kuumizwa.
Unaakili ww demu! Am really impressedeeeh?? ๐๐ kumbe mimi ni demu jamani nilikuwa nimesahau jaman ๐๐
Wewe dogo ,ngoja tukukamate,na hivi hauleweki jinsia yako,utaimba AleluyaHao mambulula wenye MADIVISHENI FOO huwa wanasubiri orders. They don't have a mind of their own.
Na huko jeshini huwa wanakuwa programmed kuwa misukule. Ni kati ya taasisi ambazo ni HEAVILY BRAINWASHED.
Ukiona wanajeshi wanahusika kupindua serikali ujue wahusika ni kundi dogo sana la ELITES na wajuzi haswa ambalo halizidi watu hamsini. Hawa manyumbu wenye magwanda ya mabaka mabaka ndio wanafuata nyuma kwa matambo ya pushups lakini hawana walijualo.
Only a small group of elites can overthrow a government. Watu ishirini tu ambao ni very smart.
Haya MADIVISHENI FOO ni kufuata nyuma tu kwa amri za WAKUU ambao ni the smartest.
Cc: @ Poor Brain min -meNAMBA MOJA AJAYE NCHINI Rabbon Lucas Mwashambwa ChoiceVariable chiembe Sexless Stuxnet Pascal Mayalla Kiranga Nyani Ngabu Tindo GENTAMYCINE
Kabisa lo muda utaongea
Jeshi letu limetutenga Watanzania.
Napata mashaka kuamini kama hili ni jeshi la wananchi wa Tanzania ama laah.
Sitaki kuamini kwamba katika jeshi zima hakuna hata mmoja mwenye akili na kuumizwa.
Wanafanya kazi zao, na wewe fanya yako usitake watu wakufanyie kazi yako!
Hawa viongozi wa ccm hawana akili nzuri sana
Haitaisha miaka kumi kwa huu mwendo wanaotupeleka kabla hayajatokea mambo ya kuwaacha hoi kabisa
Tuombe Mungu uzima tu
Mambo wanayofanya hawa watu yanaumiza sana na nauhakika kwamba kuna watu wenye uwezo wa kukata nyaya wanapitia maumivu pia juu ya matendo yanayoendelea nchi hii
Mtu huyo atatoka upande wao wala wasijione wako salama sana
Kitanuka tu!Hao mambulula wenye MADIVISHENI FOO huwa wanasubiri orders. They don't have a mind of their own.
Na huko jeshini huwa wanakuwa programmed kuwa misukule. Ni kati ya taasisi ambazo ni HEAVILY BRAINWASHED.
Ukiona wanajeshi wanahusika kupindua serikali ujue wahusika ni kundi dogo sana la ELITES na wajuzi haswa ambalo halizidi watu hamsini. Hawa manyumbu wenye magwanda ya mabaka mabaka ndio wanafuata nyuma kwa matambo ya pushups lakini hawana walijualo.
Only a small group of elites can overthrow a government. Watu ishirini tu ambao ni very smart.
Haya MADIVISHENI FOO ni kufuata nyuma tu kwa amri za WAKUU ambao ni the smartest.
Cc: @ Poor Brain min -meNAMBA MOJA AJAYE NCHINI Rabbon Lucas Mwashambwa ChoiceVariable chiembe Sexless Stuxnet Pascal Mayalla Kiranga Nyani Ngabu Tindo GENTAMYCINE
Wengi wanajali maslahi binafsiJeshi letu limetutenga Watanzania.
Napata mashaka kuamini kama hili ni jeshi la wananchi wa Tanzania ama laah.
Sitaki kuamini kwamba katika jeshi zima hakuna hata mmoja mwenye akili na kuumizwa.
KabisaNaungana nawe, kwa uovu huu, haitapita hata miaka mitano, watajutia.
Hamna kitu kama hicho jeshi la tanzania nibla like milele bila damu zetu watanzania kumwagika hamna kitu kitachobadilika milele narudia tena jeshi la tanzania ni la kikeKitanuka tu!
We subiri mambo yachanganye!
Tayari kikwete alishasema "labda mambo yaharibike sana"mdogo mdogo yanaharibika na migomo ya wajasiriamali imeanza!!
Chura kiziwi masikio yatazibuka tu!!
Mpina kafanya kazi aliyotumwa vizuri na walivyo empty headed wamemfukuza ili kuhalalisha tuhuma zao,Bunge halitotumika tena kama chombo cha kusimamia serikali bali maamuzi ya mafichoni yatatumika kuongeza serikali!!
HAKUNA UPUUZI MKUBWA ULIOFANYA BUNGE KAMA KUMFUNGIA MPINA NI RASMI DOLA ITAONA BUNGE LIPO KUTETEA MAJIZI NA WAO WATAINGIA MZIGONI HALAFU CHURA ATARUKIA KWA WAJOMBA ZAKE BAADA YA MAJI KUCHEMKA!!!
NGOJA TUONE!
Mfumo wetu hauruhusu Damu kumwagika za watz yaani mass massacre kama ya south au kenya!!..Hamna kitu kama hicho jeshi la tanzania nibla like milele bila damu zetu watanzania kumwagika hamna kitu kitachobadilika milele narudia tena jeshi la tanzania ni la kike
Unaumwa wewe๐๐, tumefunzwa kuwa watulivu hata kama tuna shida, kwa kweli hapa walijitahidi, kwanza ukiona mmoja kachapwa risasi hakuna mtanzania hata mmoja atabaki mtaani๐๐๐wewe sema lini tunaingia barabarani
tuko nyuma yako ๐ค
Naunga mkono hoja.Jeshi letu limetutenga Watanzania.
Napata mashaka kuamini kama hili ni jeshi la wananchi wa Tanzania ama laah.
Sitaki kuamini kwamba katika jeshi zima hakuna hata mmoja mwenye akili na kuumizwa.
Mwanasheria unaye au yuko likizo? ๐Hao mambulula wenye MADIVISHENI FOO huwa wanasubiri orders. They don't have a mind of their own.