Jeshi letu limetutenga Watanzania

Jeshi letu limetutenga Watanzania

Uzuri hizi kelele ni za muda mfupi, diamond akiibuka na kiki yake. Wote tunasahau tunaenda upepo unakovuma. Ma keyboard warriors
 
Jeshi letu limetutenga Watanzania.

Napata mashaka kuamini kama hili ni jeshi la wananchi wa Tanzania ama laah.

Sitaki kuamini kwamba katika jeshi zima hakuna hata mmoja mwenye akili na kuumizwa.
Eti wanafundishwa na aliyeangukiwa na pua from four
Hata mgambo hajawahi kupata mafunzo
 
Back
Top Bottom