Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Kivipi? Hebu funguka, tujuze ni nini kilichojiri hadi unasema jeshi limetutenga Watanzania.Jeshi letu limetutenga Watanzania.
Napata mashaka kuamini kama hili ni jeshi la wananchi wa Tanzania ama laah.
Sitaki kuamini kwamba katika jeshi zima hakuna hata mmoja mwenye akili na kuumizwa.
Mtoa mada anataka askani mmoja au kikundi ajitokeze kitie neno Kuhusu pengine uelekeo mbaya kwa serikali😂,Kivipi? Hebu funguka, tujuze ni nini kilichojiri hadi unasema jeshi limetutenga Watanzania.
Msijidangaje hapo kenya askari wana mdhaha eti Uvamie bunge😂😂, ihumwa, makutupora, kizota itaamia hapo sentawewe sema lini tunaingia barabarani
tuko nyuma yako 🤝
Dah! ama' kweli. Hajui kwamba hao jamaa wamekula kiapo cha UTII kwa Serikali na Amiri jeshi mkuu?Mtoa mada anataka askani mmoja au kikundi ajitokeze kitie neno Kuhusu pengine uelekeo mbaya kwa serikali😂,
KIJESHI HUO NI MGOMO
Hawa viongozi wa ccm hawana akili nzuri sanaJeshi letu limetutenga Watanzania.
Napata mashaka kuamini kama hili ni jeshi la wananchi wa Tanzania ama laah.
Sitaki kuamini kwamba katika jeshi zima hakuna hata mmoja mwenye akili na kuumizwa.
Huyo mtoa mada ni mwoga wa kutupwa. Anaongea kwa kuficha-ficha kitu kinachomkera.Kwanini kuna tatizo gani ?
Sifa ya kwanza ya jeshi imara ni utiifuDah! ama' kweli. Hajui kwamba hao jamaa wamekula kiapo cha UTII kwa Serikali na Amiri jeshi mkuu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Msijidangaje hapo kenya askari wana mdhaha eti Uvamie bunge[emoji23][emoji23], ihumwa, makutupora, kizota itaamia hapo senta
Kwanini hukuleta hii maneno maneno kabla ya haya yanayoendelea Kenya?! Akili ya kipanzi ya kuigaiga mambo. Pumbavu.Jeshi letu limetutenga Watanzania.
Napata mashaka kuamini kama hili ni jeshi la wananchi wa Tanzania ama laah.
Sitaki kuamini kwamba katika jeshi zima hakuna hata mmoja mwenye akili na kuumizwa.
Wizooo taratibuu mambo yakoo, wee huogopiiii?Hao mambulula wenye MADIVISHENI FOO huwa wanasubiri orders. They don't have a mind of their own.
Na huko jeshini huwa wanakuwa programmed kuwa misukule. Ni kati ya taasisi ambazo ni HEAVILY BRAINWASHED.
Ukiona wanajeshi wanahusika kupindua serikali ujue wahusika ni kundi dogo sana la ELITES na wajuzi haswa ambalo halizidi watu hamsini. Hawa manyumbu wenye magwanda ya mabaka mabaka ndio wanafuata nyuma kwa matambo ya pushups lakini hawana walijualo.
Only a small group of small elites can overthrow a government. Watu ishirini tu ambao ni very smart.
Haya MADIVISHENI FOO ni kufuata nyuma tu kwa amri za WAKUU ambao ni the smartest.
Cc: @ Dr. mambo jambo Poor Brain min -me Dokta mambo jambo NAMBA MOJA AJAYE NCHINI Rabbon
Haki ya kutoa maoni chini ya Katiba ya Tanganyika 😁Wizooo taratibuu mambo yakoo, wee huogopiiii?
Hakuna usalama humu ndaniii, unajua kamba ya urefu.wa kujipimia ni tamuu? Ooooh usiseme hujaambiwa.