Jeshi letu limetutenga Watanzania

Kumbe kuna wanawake mnaakil hv? Ww mbususu yako lazma iwe tamu pia.
 
Jeshi letu limetutenga Watanzania.

Napata mashaka kuamini kama hili ni jeshi la wananchi wa Tanzania ama laah.

Sitaki kuamini kwamba katika jeshi zima hakuna hata mmoja mwenye akili na kuumizwa.
Ngoja nikutafutie mawasiliano ya IBRAHIM TRAORE labda atakupa majibu ya swali lako.
 
Wewe dogo ,ngoja tukukamate,na hivi hauleweki jinsia yako,utaimba Aleluya
 
Jeshi letu limetutenga Watanzania.

Napata mashaka kuamini kama hili ni jeshi la wananchi wa Tanzania ama laah.

Sitaki kuamini kwamba katika jeshi zima hakuna hata mmoja mwenye akili na kuumizwa.

Polisi, CCM na Serikali yake, wamegeuka kuwa genge la kihalifu dhidi ya Watanzania.
 
Naungana nawe, kwa uovu huu, haitapita hata miaka mitano, watajutia.
 
Kitanuka tu!

We subiri mambo yachanganye!

Tayari kikwete alishasema "labda mambo yaharibike sana"mdogo mdogo yanaharibika na migomo ya wajasiriamali imeanza!!

Chura kiziwi masikio yatazibuka tu!!

Mpina kafanya kazi aliyotumwa vizuri na walivyo empty headed wamemfukuza ili kuhalalisha tuhuma zao,Bunge halitotumika tena kama chombo cha kusimamia serikali bali maamuzi ya mafichoni yatatumika kuongeza serikali!!

HAKUNA UPUUZI MKUBWA ULIOFANYA BUNGE KAMA KUMFUNGIA MPINA NI RASMI DOLA ITAONA BUNGE LIPO KUTETEA MAJIZI NA WAO WATAINGIA MZIGONI HALAFU CHURA ATARUKIA KWA WAJOMBA ZAKE BAADA YA MAJI KUCHEMKA!!!
NGOJA TUONE!
 
Jeshi letu limetutenga Watanzania.

Napata mashaka kuamini kama hili ni jeshi la wananchi wa Tanzania ama laah.

Sitaki kuamini kwamba katika jeshi zima hakuna hata mmoja mwenye akili na kuumizwa.
Wengi wanajali maslahi binafsi
 
Hamna kitu kama hicho jeshi la tanzania nibla like milele bila damu zetu watanzania kumwagika hamna kitu kitachobadilika milele narudia tena jeshi la tanzania ni la kike
 
Hamna kitu kama hicho jeshi la tanzania nibla like milele bila damu zetu watanzania kumwagika hamna kitu kitachobadilika milele narudia tena jeshi la tanzania ni la kike
Mfumo wetu hauruhusu Damu kumwagika za watz yaani mass massacre kama ya south au kenya!!..

Huwa wanamuondoa mhusika kwa mfumo uitwao "safe process"bila kuathiri wengi!!
. check and Balance system!!

Kama chuma kilipata kutu bas huyu ni rahisi sana coz na yeye kishajichanganya na teka teka !!

Safe process!
 
wewe sema lini tunaingia barabarani
tuko nyuma yako 🀝
Unaumwa weweπŸ˜‚πŸ˜‚, tumefunzwa kuwa watulivu hata kama tuna shida, kwa kweli hapa walijitahidi, kwanza ukiona mmoja kachapwa risasi hakuna mtanzania hata mmoja atabaki mtaaniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Jeshi letu limetutenga Watanzania.

Napata mashaka kuamini kama hili ni jeshi la wananchi wa Tanzania ama laah.

Sitaki kuamini kwamba katika jeshi zima hakuna hata mmoja mwenye akili na kuumizwa.
Naunga mkono hoja.
 
Mwanasheria unaye au yuko likizo? πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…