Labella JF-Expert Member Joined Jun 26, 2024 Posts 1,949 Reaction score 4,759 Jun 28, 2024 #41 Uzuri hizi kelele ni za muda mfupi, diamond akiibuka na kiki yake. Wote tunasahau tunaenda upepo unakovuma. Ma keyboard warriors
Uzuri hizi kelele ni za muda mfupi, diamond akiibuka na kiki yake. Wote tunasahau tunaenda upepo unakovuma. Ma keyboard warriors
Katashekadm JF-Expert Member Joined Feb 14, 2018 Posts 728 Reaction score 775 Jun 28, 2024 #42 Mto Songwe said: Jeshi letu limetutenga Watanzania. Napata mashaka kuamini kama hili ni jeshi la wananchi wa Tanzania ama laah. Sitaki kuamini kwamba katika jeshi zima hakuna hata mmoja mwenye akili na kuumizwa. Click to expand... Eti wanafundishwa na aliyeangukiwa na pua from four Hata mgambo hajawahi kupata mafunzo
Mto Songwe said: Jeshi letu limetutenga Watanzania. Napata mashaka kuamini kama hili ni jeshi la wananchi wa Tanzania ama laah. Sitaki kuamini kwamba katika jeshi zima hakuna hata mmoja mwenye akili na kuumizwa. Click to expand... Eti wanafundishwa na aliyeangukiwa na pua from four Hata mgambo hajawahi kupata mafunzo