Jeshi Sudan laelekea kushinda vita

Jeshi Sudan laelekea kushinda vita

Wale hawakubeba bomu wala silaha ,japo walidanganywa,walifanya kwa hiari yao bila kumsumbua yyte na kutaka madaraka wala nini , kule Sudan wanakimbiza kutawala mpaka kuharibu nchi ,utatawalje maskini wasio na lishe ,ule ni ujinga wakupitiliza
Mbona unajicontradict wewe mwenyewe kwa ulichokiandika hapo?
 
Hawa wavaa kobazi wana mind set za kizamani kwamba uki ishika Ikulu tu tayar wewe ni raisi
Ww unavyojua hili upindue nchi maeneo gani ya kuteka?au ww unataka kupindua nchi unaenda kuteka shule akili huna halafu unajifanya kuponda watu eti wavaa kobaz vita zozote za madaraka sehemu zinashambuliwa viwanja vya ndege na ikulu aliyopo rais
 
Hali imebadilika.Mwanzoni mrusi alisemekana kuwa upande wa RSF kwani amewarahisishia kuchimba dhahabu na Marekani upande wa serikali. Serikali ya Misri upande wa jeshi (serikali) na Umoja wa falme za kiarabu upande wa RSF kwa vile waliwahi kuwasaidia askari wa kupigana Yemen.
Maelezo ya Hemedti kwamba generali Burhani ana mafungamano na utawala wa kiislamu uliopita na kwamba ndio unaomlinda Omar Albashir umebadili fikra za Misri na UAE ambao wote juu ya kwamba ni waislamu lakini huwa hawaupendi Uislamu uwe mfumo wa utawala.
Wanachi wengi wa Sudan hata wasipopenda Omar Albashir na watu wake warudi madarakani lakini wanapendelea utawala wa kiislamu kuliko mifumo mingine.Hivyo watamuunga mkono AlBurrhani ambaye anaweza akakosa msaada wa Misri aliyekuwa karibu kumpatia kila msaada anaoutaka. Pamoja na hivyo RSF kwa sasa hawana nguvu na nidhamu ya kijeshi na utawala wa kupanua maeneo wanayoyashikilia ambayo yanaishia jiji la Khartoum
RSF wameshindwa hata kutetea na kuleta nidhamu ya jimbo la Darfour ambako awali ilitajwa wana wafujasi wao wengi zaidi.
Mrusi hashughulishwi sana na siasa za utawala wa kiislamu kama ilivyo kwa Amerika na washirika wake akina Misri,hata Urusu kwenyewe yuko bega kwa bega na Ramzan Kadyrov wa Chechnya.Hivyo angeweza kumsaidia Dagalo wa RSF lakini kwa sasa vita vyake na Ukraine havimpi nafasi ya kutoa msaada wa kisilaha.
Ndio maana kushindwa kwa RSF kwa kutumia nyenzo za ndani za nchi ambazo ziko kwa jenerali Burhani zaidi ni kukubwa.
Mmarekani hanaga dini ndugu usidhan kila mzungu ni padri, uyo mmarekani ndio aliwaweka Mujahidin Taliban pale afghan, wale wapuuzi wanafanyakaz hata aliens as long as maslah yao yanasonga
 
Mrusi upande wa serikali US upande wa RSF patamu hapo
Akili za kijinga sana hizi.. Sasa utamu uko wapi hapo? Yani watu wanakufa wewe inaonekana una enjoy kama unaangalia movie.. Kenge kweli wewe..
 
Upepo wa mapambano kati ya majenerali wawili nchini Sudan unaonekana kubadilika ghafla dhidi ya Hemedti.

Jeshi linaloongozwa na generali Burhani limesema kwa sasa wananchi wate waliobaki mjini Khartoum wabaki ndani na wasichungulie madirishani kwani wameanza kutumia vifaru kushambulia kutoka pembe zote ili kuwang'oa askari wa genrel Hemedti.

Hii ni baada ya kampeni ya takriban wiki tatu ya kushambulia kutoka angani kupiga karibu na ikulu,makao makuu ya jeshi na uwanja wa ndege ambako RSF walifanikiwa kuyashikilia.

Hali inaonekana ni mbaya kwa RSF kwani wameishia kushikilia maeneo muhimu ya Khartoum tu na kubakisha maeneo yote mpaka Port Sudan chini ya udhibiti ya jeshi.Hilo limetoa fursa kwa jeshi kujitengenezea nguvu kubwa ya kuukomboa mji mkuu wa Khartoum.
 

Attachments

  • VID-20230502-WA0004.mp4
    5 MB
Acha uongo, wanamgambo wa RSF wanashirikiana na kundi la Wagner la Urusi, UAE na Libya. Jeshi la Sudan linapewa nguvu kwa mbali na Egypt, Saud Arabia na Kwa mbali Israel. Ndio maana RSF waliziaribu ndege za Saud Arabia na Egypt pia wanashambulia ndege za nchi nyingi zinazokuja kutoka raia wao. Kiufupi nchi nyingi za dunia zipo upande wa jeshi la Sudan, ila Urusi, Libya na UAE wanawasaidia wanamgambo wa Dagalo/Hemedt.
kwa hiyo marekani hapo hausiki kabisaaaaa .....
 
Hawawezi kuangusha ndege ya kivita kwa bunduki ya rashasha.
 
nyiny mnaoipinga USA kinamna fulani mnaiabudu USA mnaamin USA kila kitu duniani yeye ndo sababu
Kwa muda mrefu ilikuwa hivyo.Kwa sasa inapungua kwa kasi kwa kuwa nguvu zake zimeisha bila kupenda.
 
Vita ya kijinga kabisa.. haina maana kabisaa!!
 
Back
Top Bottom