Jeshi Urusi hii Leo lazuia msafara wa Jeshi la Marekani nchini Syria

Jeshi Urusi hii Leo lazuia msafara wa Jeshi la Marekani nchini Syria

Sir John Roberts

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
12,835
Reaction score
23,584
Jeshi la Urusi hii Leo limeuzuia msafara wa Majeshi ya Marekani uliokua unataka kuingia katika mji Qamishlo nchini Syria na kuualazimisha kugeuza kurudi ulipotoka.

Source: Visegrad24 X account
Screenshot_20241211-190105.png
 
Marekani ni zaidi ya hatari ni suala la muda tu warusi watanyosha maelezo wanafanya haya mambo kwa faida ya nani? Urusi imekuwa kama malaya aliyeshindwa kumtunza mke wahuni wakamchukua ila amebaki kulazimisha show kwa mke wa mtu.
 
USA Hana uwezo wa kumvimbia russia.kapambana Ukraine akisaidiwa na NATO mpaka Leo hajafanikiwa amepoteza Dola nyingi sanaa
 
Watu wanamchukulia urusi kama mchumba ,ila anavimba na marekani anatulia tulii
Marekani anaujua mziki wa Russia. Wale wamarekani waliokwama kule anga za mbali aliulizwa Elon musk akasema mwenye uwezo wa kuwaokoa ni warusi kwa situation kama ile marekani walimind sana ile kauli yake.
 
Back
Top Bottom