Jeshi Urusi hii Leo lazuia msafara wa Jeshi la Marekani nchini Syria

Jeshi Urusi hii Leo lazuia msafara wa Jeshi la Marekani nchini Syria

Marekani ni zaidi ya hatari ni suala la muda tu warusi watanyosha maelezo wanafanya haya mambo kwa faida ya nani? Urusi imekuwa kama malaya aliyeshindwa kumtunza mke wahuni wakamchukua ila amebaki kulazimisha show kwa mke wa mtu.
Marekan Hana uhatari wowote kwasasa labda zaman...kashapoteza ushawishi na anaendelea kupoteza ushawishi...
 
Marekani anaujua mziki wa Russia. Wale wamarekani waliokwama kule anga za mbali aliulizwa Elon musk akasema mwenye uwezo wa kuwaokoa ni warusi kwa situation kama ile marekani walimind sana ile kauli yake.
Ewaah ata mm nshawahi skia kuna sehemu kwenye mambo ya Anga wanategemeana kwahio lazima kila mtu amuheshimu mwenzake kimtindo
 
Back
Top Bottom