Jeshi Urusi hii Leo lazuia msafara wa Jeshi la Marekani nchini Syria

Hawa jamaa wa kirusi aidha ni wavuta bangi au walizaliwa nje ndoa ............asad kashatoka madarakani hawakuzuia wanakuja kuzuia wapita njia ..........kituko
Nyie uwezo wenu ni kuchambua chura za kina kajala na hamisa mobeto; mambo ya kivita, hususani hayo ya mashariki ya kati, hamuyawezi tulieni tu. Hao ndo wanaoiendesha Dunia; wanajua vizuri wanachokifanya......nyie pigeni tu kelele Huku na vibwebwe vyenu.
 
Wewe uwezo wako ni upi?Hakuna ulichokariri zaidi ya wowowo la Kajala?Toa uchambuzi na ufafanuzi kuhusu mapambano na vita tuone.Siyo kumshambulia mtu kumbe vita unayoijua ni ya kwenye video games.
 
Wewe uwezo wako ni upi?Hakuna ulichokariri zaidi ya wowowo la Kajala?Toa uchambuzi na ufafanuzi kuhusu mapambano na vita tuone.Siyo kumshambulia mtu kumbe vita unayoijua na ya kwenye video games.
Mimi sijaichambia vita yoyote na Wala sina uwezo huo. Uwepesi wa alichokiandika ndiyo ulionifanya nimjibu vile. Nafikiri mambo ya mashariki ya kati yametuzidi mno.....hatuyaelewi, hatuyajui. Kuna kelele za kishabiki tu humu
 
Umejiaminisha kwamba kila mtu hajui chochote kuhusu mashariki ya kati humu JF?
 
Yeah, kwa 100%. Hitimisho langu limetokana na uchunguzi wangu wa michango ya wajumbe humu kwa muda mrefu.......ni porojo tu na hisia na kuchamba.
Nakuuliza swali la kijinga:Kama wote humu JF hawajui kuhusu mashariki ya kati ukiwemo wewe,sasa umejuaje kama hawajui chochote?
 
Ni rahisi tu; miliki common sense Kisha fuatilia michango ya wanajf hapa kuhusu vita ya mashariki ya kati.....hususani tangu pale vita yao ilipopamba moto zaidi.
 
Swali la msingi;Umeeleza humu JF wote ukiwemo wewe hatuna tunalolijua kuhusu hayo.Sasa wewe umejuaje kitu usichokijua kama sisi wenzako?
 
USA Hana uwezo wa kumvimbia russia.kapambana Ukraine akisaidiwa na NATO mpaka Leo hajafanikiwa amepoteza Dola nyingi sanaa
Izo Dollar zinazopotea zinalipwa na wewe unayetumia mtandao wa mmarekani. Wewe unajivinjari kwenye youtube, android na ios faida unapeleka marekani wanagaramia vita alafu unakuja kubwabwaja apa kwa mtandao. Akili usipokuwa nayo nikulopoka tuuuu
 
Uturuki ndio atakuwa kawatuma warussia maana Marekani anataka kuwasaidia wakurdi na Uturuki hataki hata kuwasikia
Uturuki nayo inatakiwa iwe makini Sana maana Israel na marekani hawataiacha iwe salama na kuendelea kuwa na nguvu hapo mashariki ya kati.
 
Nchi ambazo marekani hataaakikisha anaweka mikakati ziingie kwenye matatizo kama ya Pakistan ni :-
1. Uturuki 🇹🇷
2. Russia 🇷🇺
3. Korea kaskazini. 🇰🇷
4. China 🇨🇳
5. Venezuela 🇻🇪
6. Mali 🇲🇱
7. Niger 🇳🇪
8. Lebanon 🇱🇧
 
Izo Dollar zinazopotea zinalipwa na wewe unayetumia mtandao wa mmarekani. Wewe unajivinjari kwenye youtube, android na ios faida unapeleka marekani wanagaramia vita alafu unakuja kubwabwaja apa kwa mtandao. Akili usipokuwa nayo nikulopoka tuuuu
We kenge kweli kwahiyo ulitaka nitumie Bure? Nawao si wanalipia Kodi Serikalini ili wewe ulale usingizi kwa amani ukijijambia hovyo hovyo.
 
Back
Top Bottom