Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Kumbe town long time kitambo mkuuMdau mkubwa sanaa toka enzi za yule demu wake wa zamani Prof Jay alikuwa na show yake maisha Club pale inaitwa Bunyero bunyero kila jumanne, demu alikuwa na watoto wakali sanaa, hapo hata Don masha bado hajaanza kuwauza.
Safi na mdada ana moyo safi na tabasamu pana , lazima ale hela zetu bila kinyongo kabisa👏Jesca kikumbi bila bar yako ningepataje mke mimi
Mwaka jana mwanzoni nilipita sinza pale mariam Saula akanipasia mwali wake mmoja anaitwa katoto tako, mtoto ana balaa yule bwashee, kidogo dogo lakini matako mengi alafu lainiiiii.Sidhani, hizi bar zina tabia ya kubadilishana makontena bwashee 😅
Duuh kweli ndoa haina formulaJesca kikumbi bila bar yako ningepataje mke mimi
Kama kweli vunjabei atakuwa mporipori tu,unakulaje lishangazi fupi kama hilo.
Kabisa, pesa alizokuwa nazo huyu jamaa hakutakiwa hata kutoka na baadhi ya mademu wengine wachafu chafu.Fred mdhaifu sana kwenye suala zima la papuchi.
Formula inasema wahudumu wengi wa baa ndiyo wanaongoza kwa kuolewa.Duuh kweli ndoa haina formula
HahahahahaMwaka jana mwanzoni nilipita sinza pale mariam Saula akanipasia mwali wake mmoja anaitwa katoto tako, mtoto ana balaa yule bwashee, kidogo dogo lakini matako mengi alafu lainiiiii.
Watoto wazuri unawapata bar bwasheeFormula inasema wahudumu wengi wa baa ndiyo wanaongoza kwa kuolewa.
😅Wengine wazawa kaka bila kupenda unajikuta maisha ya viwanja unakuwa nayo by default, usingizi tulikuwa tunaupata kwa shida sana zamani, nyumba unaishi imepakana na lango la jiji kwa macheni.Kumbe town long time kitambo mkuu
Hana baya huyu sister hela zizidi kumiminika kwakeSafi na mdada ana moyo safi na tabasamu pana , lazima ale hela zetu bila kinyongo kabisa👏
Huyo mkuu anadhani atawakuta wanapeta pumba mashineni au wanatwanga mahindi kwenye vinu asilia.Atakwama.Watoto wazuri unawapata bar bwashee
Mkuu kila mtu na njia yakeDuuh kweli ndoa haina formula
Hahaha ajiulize kwa nini wenye ndoa wana shida barHuyo mkuu anadhani atawakuta wanapeta pumba mashineni au wanatwanga mahindi kwenye vinu asilia.Atakwama.
Kila mmoja atakula madhabahuni mwake.Mcheza bao mtaani atampata wa sampuli yake kama ilivyo kwa injinia wa ufundi baiskeli mtaani.Hahaha ajiulize kwa nini wenye ndoa wana shida bar
Haka ni chinua achebe bwashee, haka kananyumbulika kama kiungo kisheti😅lazima Uite maji mma
Kabisa , walevi tumetunukiwa watoto wazuri walio chaguliwa wakachaguka 😅😅😅Kila mmoja atakula madhabahuni mwake.Mcheza bao mtaani atampata wa sampuli yake kama ilivyo kwa injinia wa ufundi baiskeli mtaani.
Ni balaaa mkuu, kakilewa ndio hatari na kanacheza miguu yoteHaka ni chinua achebe bwashee, haka kananyumbulika kama kiungo kisheti😅lazima Uite maji mma