Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Subhanallah!Kwa hiyo mikrosi,kona za banana chop hadi upigaji besela yumo?Ni balaaa mkuu, kakilewa ndio hatari na kanacheza miguu yote kmmk
Subhanallah!Kwa hiyo mikrosi,kona za banana chop hadi upigaji besela yumo?Ni balaaa mkuu, kakilewa ndio hatari na kanacheza miguu yote kmmk
Hahaha mguu mmoja unatosha bwashee😅Ni balaaa mkuu, kakilewa ndio hatari na kanacheza miguu yote kmmk
Umeomba pooh kikubwa, bwashee!Hahaha mguu mmoja unatosha bwashee😅
Na,imeandikwa,ukitaka kula nguruwe/haramu,chagua aliyenona, bwashee!Sema hivyo vinguruwe pori vingi vya cheupe , ni visungura tope bwashee, Mla Bata kasema ukweli, usipo kuwa makini na mitungi yako unaweza fakamia tu
Zote zote mkuu Mipanenka, Trivela, Rabona zote anapiga😅Subhanallah!Kwa hiyo mikrosi,kona za banana chop hadi upigaji besela yumo?
Hahaha vinapuyanga kwenye tope 24hrs, kuna namna vimebinuka unajua kabisa haka nika chinua achebe 😅Na,imeandikwa,ukitaka kula nguruwe/haramu,chagua aliyenona, bwashee!
Siku hizi huulizwi bwashee unashtukia tu mzigo ushafika Igunga hukoo.Hahaha mguu mmoja unatosha bwashee😅
Anajijua yeye ni "grain of wheat",akipandwa huota.Hahaha vinapuyanga kwenye tope 24hrs, kuna namna vimebinuka unajua kabisa haka nika chinua achebe 😅
Dah!Kama mzigo umepitiliza kituo hitajika,mpokeaji anaweza kutozwa faini?Siku hizi huulizwi bwashee unashtukia tu mzigo ushafika Igunga hukoo.
Maandishi marefu na kilichoandikwa hakielewekiMfanyabiashara maarufu na mmiliki wa baa za Kitambaa Cheupe, Jeska Kikumbi, amefunguka kuhusu sababu zinazowafanya watu kumhusisha kimapenzi na mfanyabiashara mwenzake, Fredi Ngajilo maarufu kama Fredi Vunjabei, huku akieleza msimamo wake kuhusu suala hilo.
Jeska amezungumzia mada hiyo akifafanua namna jina lake linavyohusishwa na Fred, jambo ambalo limekuwa likizua udadisi kwa baadhi ya watu wanaofuatilia maisha yao kupitia mitandao ya kijamii.
Ukaribu kati ya watu maarufu unapokuwa gumzo, mara nyingi huibua maswali kuhusu aina ya uhusiano uliopo baina yao, hali inayoweza kufanya maisha yao binafsi kuwa sehemu ya mijadala ya umma.
Katika maelezo yake, Jeska ameeleza kwa undani mtazamo wake kuhusu watu wanaomhusisha na Fred Vunjabei, akitoa nafasi kwa mashabiki na wadau kuelewa upande wake kuhusu mada hiyo.
Hata hivyo, suala la uhusiano wao linahitaji kuangaliwa kwa kuzingatia maelezo aliyoyatoa Jeska mwenyewe, badala ya kutegemea tetesi zinazozunguka mitandaoni.
Jeska Kikumbi ni miongoni mwa wafanyabiashara wanaotambulika katika sekta ya burudani kupitia biashara zake za Kitambaa Cheupe, huku Fred Ngajilo naye akifahamika katika ulimwengu wa biashara. It's over and topic is closed..🔐
Mwanangu umezunguka tu ila hujasema chochote alichosema yaan umezunguka hapohapo kisha ukarudi ulipotoka ukamwambia mama panua niingie nimerudi nilipotokaHata hivyo, suala la uhusiano wao linahitaji kuangaliwa kwa kuzingatia maelezo aliyoyatoa Jeska mwenyewe, badala ya kutegemea tetesi zinazozunguka mitandaoni.
Hatari hii ndo nmesikia leoFormula inasema wahudumu wengi wa baa ndiyo wanaongoza kwa kuolewa.
Zile hela tumepigwa mchana kweupeManeno matupu bila picha sawa na Hela za maandalizi ya Elnino bila mvua.
Anakunya??🤔🤔🤔
Anaharishaa balaaaa 🤮Anakunya??🤔🤔🤔
Bernadeta na Jerome wamesharudiana au bado? Maana harus yao ilitikisa had makao makuu lakin ngoma ya watoto haikesh. Alienda hanimuni akaliwa na mkndu..Anaharishaa balaaaa 🤮