Jeska Kikumbi aweka wazi msimamo wake kuhusu Fredi Vunjabei

Maandishi marefu na kilichoandikwa hakieleweki
 
Hata hivyo, suala la uhusiano wao linahitaji kuangaliwa kwa kuzingatia maelezo aliyoyatoa Jeska mwenyewe, badala ya kutegemea tetesi zinazozunguka mitandaoni.
Mwanangu umezunguka tu ila hujasema chochote alichosema yaan umezunguka hapohapo kisha ukarudi ulipotoka ukamwambia mama panua niingie nimerudi nilipotoka
 
Anaharishaa balaaaa ๐Ÿคฎ
Bernadeta na Jerome wamesharudiana au bado? Maana harus yao ilitikisa had makao makuu lakin ngoma ya watoto haikesh. Alienda hanimuni akaliwa na mkndu..

Ila aligoma kumzalia Jerome, moyo wake wote ulikuwa kwa Buthelezi, mshikaji wake wa chuo..

Jerome alivyoendaa hanimuni, akashangaa kuona mshipa unateleza tu chubwiii, kumbe demu alishafunguliwa marinda tangu cku nyingi..

Baadae Jerome alivyoondolewa kazin, demu akaanza kumfanyia visa jamaa na had leo demu bado hajaaza.. ๐Ÿ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ