Hakuna hoja uliyo leta mkuu... Kama ulimtongoza akakukataa kunywa Vodka wiki moja utatulia.... acha umburula bana hili sio jukwaa la watu wajinga wajinga kama wewe.... mods plz ondoa huu upuuzi.....
i don do girls hata kama ingekua hvyo sio yule lady
sina chuki nae hata chembe ila bil 80 walikula wengi ZITARUDI
i don do girls hata kama ingekua hvyo sio yule lady
sina chuki nae hata chembe ila bil 80 walikula wengi ZITARUDI
Siku zote mlikua wapi... Wanawake hampendani kabisa na mmezidi uzushiunataka hadi upate video?
najua lazma mpinge juhudi za JPM ila wengi tunafuraha
mi nashangaa watu wanatoka povuNdugu yangu mamii90..
Hulichofanya ni sahihii, umeripoti JIZI katika wale majizi wanaosakwa na TRA, hawa wanaokupinga wanaweza wakawa nakamchezo kama ka huyo jizi..
kazi njema mamie..
mi nashangaa watu wanatoka povu
bila kuweka ushahidi
mi nimeweka picha ya pili hapo duka lake lipo kizuizini
na clip kibao zinasamba wakati likiwa linafungwa
kama ingekuwa nimetunga nadhani hata mods wangeutoa
na wanaopinga ni wale walee
kama mpaka duka lake limewekwa kizuizini WATU BADO hawataki kukubali kwamba bil80 wamekula wengi
hapa kazi tu,ujanja ujanja sasa basi
Ndugu yangu mamii90..
Hulichofanya ni sahihii, umeripoti JIZI katika wale majizi wanaosakwa na TRA, hawa wanaokupinga wanaweza wakawa nakamchezo kama ka huyo jizi..
kazi njema mamie..
Haya ni majungu kabisaa.
Mwacheni dada wa watu khaa, kiduka chenyewe kile ndo cha kushitakiwa jukwaa kama hili?
Mkiendekeza kuleta habari za wivu fitina na majungu hata huyo Magufuli kama anapitia humu ataishia kupuuza hata hoja zenye mashiko.
Acheni wivu jamani.
Hii mbona kama ni personal attack.... usije kuwa ulimchumbia akakutolea nje ukaamua kumleta hapa.... mods ondoa huu upuuzi.... hili jukwaa sio la blabla.... njoo na uthibitisho na sio kumshambulia mtu tu....
Haya mengine majungu sasa..kama amekuzidi kipato pambana hacha majungu
ka huna pesa...kwenda kwenye mitumba au kariakoo...mfugo
hii haifai kukaa jukwaa la siasa....... peleka kwenye udaku!
Mods mnaeza ondoa huu uzi hapa tafadhali?
Muache mwenzio afanye shughuli zake
Mbna kama umeumia sana na huu uzi Mzee
watu hawalipi kodi wengi ndo maana wanaumia sana hapaMbona humu jamii forum majizi ndipo yalipojaa, hayalipi kodi, kila siku sifa tu saizi roho inayauma, na nna muomba magufuli atumbue mpk vijipu vidogo hivi, sisi wafanyakazi tunakamuliwa kodi hata kupumua hatupumui, minhine ipo tu humu. Mwaka huu watakufa na kihoro, *****
Wamemuonea TRA hiyo ni zuga tu wannacha kuwakamata mapapa wanawakamata hao wadogo
watu wanadhani hizo kontena zilikua za msumbiji au malawiUzi umekua mchungu kama shubiri.
Lakini mleta mada kaleta habari ya kweli na tena yenye ushahidi.
Kama mlengwa ni best yenu ndo hivo tena ila hamna haki ya kumshambulia mleta mada.
Na hivyo vilio vyenu kwa mod wala havitasikilizwa.
Yale makontena yalikuwa na bidhaaa za wabongo na wala sio watu wa nje. Yaani usiombe kukutwa na kontena mojawapo.
Utatia huruma na pingu juu.
Ukweli ndo huo hata mkilia wala kutukana. Kuna hiyo dhana katika mada lakini sijaona ushahidi wake katika kilichopostiwa.
Na kama wewe ulikuwa unafanya biashara ya magumashi lazima kibume tu.
Uzi umekua mchungu kama shubiri.

nenda kwenye pointKodi za milion au madeni ya milion mbili ndio mnaleta humu..kwa wafanyabiashara ni TIN namba chache sana ambazo hazidaiwi hasa ukizingatia kuna sintofahamu ya EFD..unadhani kufunga duka na unamdai atalipa vp kama si kufanya udanganyifu zaidi ni swala la kukaa na kumpa muda alipe kodi mbona wafanyabiashara wakubwa kisheria wanaongezewa muda wa kulipa kodi kwa kitu ambacho akijalipwa kodi kwa mfumo wao wa custum bonded..