Jestina George wa Zurii nae tunduni, halipi kodi duka lake liko kizuizini

Jestina George wa Zurii nae tunduni, halipi kodi duka lake liko kizuizini

Mbona sapna ilivyopigwa pin watu mlishangilia? Mbona Bakhresa mlishangilia? Eti uzi utokee, uende wapi? Kama si sahihi kilichorushwa kiteteeni na si mods wakitoe. Ukiona mwenzako ananyolewa......
sijui kwanini watu wanapinga sana hizi harakati za kuwawajibisha wasiolipa kodi wakati ndo kilikua kilio
wafanyakazi wanakatwa kodi kubwa kwa sababu wafanyabiashara wanakwepa kodi
lazima kila mtu awajibike
 
hata mimi nilipita DFM nikaona kuna tape,kama anakwepa kodi basi inabidi wamfilisi hamna kuishi kwa ujanja ujanja,hamna personal attack,mbona Azam hamna mtu aliyesema ni personal attack
 
Picha ya duka na tepe mumeona bado mnabisha.

Ye nani atungiwe tena wana mengi na ya ile nyeupe na mumewe sijui kume tuu inahusu. Eti hata nyumna zao walizojenga......

Yupo nje ya nchi kwenye nchi baridi anaongelea matanuzi, sasa hivi labda ndio harudi tena
 
hata mimi nilipita DFM nikaona kuna tape,kama anakwepa kodi basi inabidi wamfilisi hamna kuishi kwa ujanja ujanja,hamna personal attack,mbona Azam hamna mtu aliyesema ni personal attack
watu wanadai nimemshambulia
kila mtu alipe kodi
 
wewe dada vitu vyako unauza ghali kuliko kawaida kwa kigezo unalipa kodi? kodi ipi

lakini pia juzi ulipost kwamba watu wajiandae kwa upotevu wa makontena kama walipitisha bila kulipia kumbe na wewe ni mmoja wa mapapa naam ni mmoja maana ushampost sana "yule jamaa anaesafirisha bidhaa kwa miujiza kufika kwako bila kodi" ukisifia sana kuhusu ubora wa huduma zake duh wewe kumbe haulipi kodi

Ingawa simjui huyu mdada unayemshambulia, post yako imekaa kimajungu, otherwise tupe evidence.
 
Mbona mnamshambulia mleta uzi? Kodi ni kodi, iwe ndogo au kubwa. Mbona wengine wanalipa paye ya 50,000/- kwa mwezi?
Kama halioi kodi apigwe tanzi tu maana hamna namna, video ipo, ushahidi upo kuwa duka limepigwa pini.
Kwa nini Bakhressa afungiwe ICD yake wengine muwatetee...ni muss sasa akiyekiuka sheria apate stahiki yake.
 
Ingawa simjui huyu mdada unayemshambulia, post yako imekaa kimajungu, otherwise tupe evidence.

We lazima utakuwa kipofu.
Rudi kwenye post ya kwanza unaze kusoma upya.
Utakuwa na lako jambo
 
Queen ukijua kinachoendelea kuhusu huyu unaemtetea ungekaa kimya.
Asante
 
Ingawa simjui huyu mdada unayemshambulia, post yako imekaa kimajungu, otherwise tupe evidence.
Evidence gani tena, na kwa nini udhani ni majungu? Mbona kwa SSB na ICD yake hukudhani ni majungu?
Clip ipo, hilo duka kweli limepigwa tanzi.
 
Jamani siwote tunaomfahamu huyo Dada mwenye maelezo yakutosha atusaidie Jina peke yake halitoshi....
 
Queen ukijua kinachoendelea kuhusu huyu unaemtetea ungekaa kimya.
Asante

Funguka basi.
Mi simtetei mtu asiyelipa kodi sema kinachokera ni jinsi watu wanashangilia,fikiria eti mtu anasema afilisiwe,mradi hajaua mtu mi nadhani ingekua vizuri akaachiwa aendelee ma boashara zake halafu apewe muda wa kulipa hiyo kodi waliyokwepa.

Pia kufungiwa duka sio ushahidi kuwa hawalipi kodi,inaweza kuwa limefungwa kwa kutuhumiwa kutolipa kodi,then mahakama ndio itaamua kama mtuhumiwa ni mkwepa kodi au la.

Hata kama kweli walikwepa kodi,tusemw tu ukweli jamani ni nani mjanja hapa mjini hajawahi kupiga madili hasa wafanyabiashara?
Yeah acha tutumbuliwe ila leo furahia la Jestina,ila na wewe iko siku hata kama sio jipu,hata kipele lazima unacho na siku kikitumbuliwa pia ufurahie hivi hivi.
 
sasa ndio umeletwa jukwaa sahihi haukufaa kubaki jukwaa la siasa...

nlikuwa napita tu.. huku kuna wenyewe...

narudi siasani....
 
Funguka basi.
Mi simtetei mtu asiyelipa kodi sema kinachokera ni jinsi watu wanashangilia,fikiria eti mtu anasema afilisiwe,mradi hajaua mtu mi nadhani ingekua vizuri akaachiwa aendelee ma boashara zake halafu apewe muda wa kulipa hiyo kodi waliyokwepa.

Pia kufungiwa duka sio ushahidi kuwa hawalipi kodi,inaweza kuwa limefungwa kwa kutuhumiwa kutolipa kodi,then mahakama ndio itaamua kama mtuhumiwa ni mkwepa kodi au la.

Hata kama kweli walikwepa kodi,tusemw tu ukweli jamani ni nani mjanja hapa mjini hajawahi kupiga madili hasa wafanyabiashara?
Yeah acha tutumbuliwe ila leo furahia la Jestina,ila na wewe iko siku hata kama sio jipu,hata kipele lazima unacho na siku kikitumbuliwa pia ufurahie hivi hivi.

Slim-Jesus akitaka long-dick style, is it ok for you?
 
Wanawake wa Tandika bhana wakiingia JF, tabu tupu.
 
Awamu hii hakuna mtu atapona....!!!

Hili fagio ni kwa wote wanaokwepa kodi wawe wakubwa au wadogo............

#Hapo kwa Pombe ni kazi tu.
 
Awamu hii hakuna mtu atapona....!!!

Hili fagio ni kwa wote wanaokwepa kodi wawe wakubwa au wadogo............

#Hapo kwa Pombe ni kazi tu.
 
Sidhani kama duka tu ndo limemfanya afungiwe duka kwa kutokulipa kodi..mhh jestina alikua anafanya biashara ya kuimport vitu kwa makontena na vijimizigo vidogo vidogo nadhani hii ndo itakua imemletea hii shida..pole yake jaman..ila unaambiwa mwenzio akinyolewa zako tia maji..si ajabu na ndugu zenu wamo kwenye mkumbo huu wa kukwepa kodi..jiandaeniiii na tingatinga mtumbua majipu..
 
Back
Top Bottom